JEKI
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 4,845
- 2,967
Poleni kwa majukumu wakuu wangu, ninahitaji msaada wa kuunganishwa na wasanii wa aina zote.
Lengo kuu ni kujaribu kuona kama tunaweza kufanya kazi pamoja. Mimi ni kijana ninayepambana na maisha, nina eneo langu la biashara linalohitaji promotion, hivyo nawahitaji tushikane mikono kujikwamua.
Hali yangu ya kiuchumi bado ipo chini, kwa hiyo nahitaji ushirikiano wa kidugu zaidi.
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa yeyote mwenye msaada wa aina yoyote ile, hata wale wenye ushauri tu.