The weekend
JF-Expert Member
- May 3, 2020
- 423
- 832
Wakuu ninaomba mtu yeyote anayeujua huu wimbo wa reggae au jina la mwanamuziki aliyeuimba tafadhali,
Wakuu ninaomba mtu yeyote anayeujua huu wimbo wa reggae au jina la mwanamuziki aliyeuimba tafadhali,
Huuupi mkuu?
kuna kitu umeattach? kwangu sioni kitu
poleee, download shazam app... siku ukiuskia tena usearchInagoma kuattach
Hyo creed ni og kbsaaa from paris mkuuWakuu ninaomba mtu yeyote anayeujua huu wimbo wa reggae au jina la mwanamuziki aliyeuimba tafadhali,