Jasho la Damu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 956
- 120
Habari wakuu
Nimebahatika kuangalia series za kikorea zifuatazo; Athena, Iris, City hunter, Jumong, The land of wind, Emperor of the sea, The Chaser, The painter. Kama kuna mtu anafahamu series za kikorea zenye mahudhui kama ya hizo nilizotaja naomba anitajie jina la hiyo series nachizika kinoma nikiziangalia.