MR MWINYIMKUU
Member
- Sep 1, 2022
- 20
- 15
STORY: JINI ZUNAIDA
MTUNZI: HAFIDHU MWINYIMKUU
CONTACT: 0719013038
WHATSAPP: 0719013038
MAHALI: DARES SALAAM
SEHEMU YA KWANZA
Story yetu inaanza katika falme ya majini iliyofahamika kwa jina la kashikashi falme ambayo ilikuwa ina nguvu na haijawahi kushindwa Vita. Falme hii ilikuwa inaongozwa na Mfalme aliyefahamika kwa jina la AMOUR ambae alikuwa na binti mmoja aliyeitwa ZUNAIDAH ambae alizaa na mkewe UMMUKURTHUMU anaetoka Falme ya ALBASH inayoongozwa na kaka take BASHR ambae alikuwa na kijana was kiume anaeitwa YUKTY. Katika kipindi chote wazazi wa Zunaidah walikuwa wamepanga kumuhoza binti yao kwa mtoto wa BASHR ambae in kaka wa Ummukurthum ili Falme zao ziwe zenye nguvu kuliko Falme zingine za Ujinini lakini binti yao Zunaidah alikuwa akipinga swala hilo Siku zote.
***********""**************************************
Ikiwa jumapili tulivu kabisa katika jiji la Dar es Saalam watu wakiwa wapo off baada ya wiki nzima kuchoshwa na KAZI. Mmja ya watu hao akiwa kijana Shabani ambae shyghuli zake zilikuwa ni kuvua samaki lakini Siku hiyo hakwenda kabisa pwani kwasababu ya uchomvu aliyokuwa nao kutokana na Jana yake alilala pwani baada ya kupata bahati ya mtende kuvua samaki wengi na kufanikiwa kupiga bingo ya pesa ndefu. Kijana huyu alikuwa yatima anakaa na MJOMBA wake anaefahamika kwa jina la Sele ambae alimlea toka wazazi wake walipofariki na ndiye aliyemfundisha shughuli za uvuvi.
**************************************************
Majira ya jioni kijana Shabani alikuwa amepumzka lakini ghafla anakuja rafiki yake wa mda mrefu HAMISI....
HAMISI: hoya vp we bishoo?
SHABAN: shwari inakuaje mgumu kufa?
HAMISI: shegaa tu nakuona umeridhiiiiika mtoto was kiume!
SHABAN: Niridhike na nini sasa mbona ngendembwe nyingi!!
HAMISI: ngendembwe? Wakati nakuona umelala kitumbo juu au ndo bingo la jana?
SHABAN: aaaaaah wapi unazinguaa bhana!
HAMISI: sasa sikia hill syo lililonileta kilichonileta hapa nataka ujiandae twende pwani
SHABAN: saizi?
HAMISI: ndiyo
SHABAN: huoni muda kama umeenda saaana
HAMISI: jioni ndo kuna samaki was kumwaga wewe twende tukawazoee
SHABAN: hata kama mzee Mimi Leo nipo off napumzika kaka!
HAMISI: sikia ndugu yangu nakuomba twendwe kama tukikosa samaki Mimi ntakulipa Mara mbili ya usumbufu.
SHABAN: una uhakika?
HAMISI: haswaaaa! Bila shaka.
SHABAN: sawa twende zetu.

Ikiwa jioni ya SAA kumi na mbili bahari imechafuka wavuvi wakiwa wanakimbilia pwani bahari imenuna vijana wawili walionekana kupakia mtumbwi wao na kusonga mbele nao ni HAMISI na rafiki yake kipenzi SHABAN................................... Hivi wale vijana wana akili kweli?...............mi nafikiri wamerogwa maana bahari imechafuka wao ndo wanaikimbilia...................huwezi jua labda wana vizizi vya mababu zao! Au watakuwa wamepewa vizizi na waganga wao walisikika wazee wawili wakiwajadili vijana hao.

Wakiwa wanaendelea kutanda nyavu katika bahari hiyo ya Hindi ghafla SHABAN alisikia sauti ikimwita Shabani! Shabani! Shabani!!
SHABAN: nani ananiita huyoo?
HAMISI: acha uwiga wewe akuite nani wewe
SHABAN: inamaana hujasikia?
Mara sauti ikajibu hawezi kunisikia mpenzi in Mimi na wewe tu.
Ndipo shabani alipoangalia mbele akamuona mwanamke mwembamba mrefu kama mwarabu au shombeshombe wa kihindi akiwa anatembea juu ya maji bila kuzama.... Ndipo alipopiga kelele na kuzimia...........................JE UNAJUA NINI KILIENDELEA?......................usikose sehemu ya pili ya mkasa huu wa kusisimua.