Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Msanii mzuri utamjua katika kuandika nyimbo zenye maadili na zinazokubalika tu. Hawa sijui amelowa, mara imwagie ndani hawana lolote there are there only to make money infact sio wasanii wazuri...
0 Reactions
4 Replies
616 Views
Wakubwa heshima kwenu,wadogo asante[emoji120] Leo nlikuwa natazama kipindi cha 'the story book' ambapo mada ya leo ilikuwa ina wahusu kabila fulani kule Africa magharibi,kabila hilo inasemekana...
5 Reactions
32 Replies
3K Views
Msanii wa filamu nchini, Wema Sepetu, amesema anamshukuru Mungu kwa kumtendea muujiza, kwani mambo yake hivi sasa yanaenda vizuri. “Nafurahi mno mwezi huu, kwa sababu baadhi ya vitu vyangu...
1 Reactions
3 Replies
921 Views
Ilikuwa mara yangu ya kwanza kukutana na rafiki yangu kipenzi aitwaje Mayasa alifurahi kuniona nami pia tuliongea mengi sana pia ila akanisimulia hali yake ya ndoa " Mayasa: MAYANGA nimefurahi...
0 Reactions
0 Replies
667 Views
Kizungumkuti! Na Bishop Hiluka “Hii ni trela tu, picha kamili keshokutwa! Hakyamungu keshokutwa hakai mtu hapa… mi naapa! Nitakunywa na nitatembea uchi ukumbi mzima kama mademu wakinimaindi poa...
22 Reactions
624 Replies
96K Views
Habari wana jamvi... Kama kichwa kinavyosema hapo juu... Nilikuwa naomba mwenye PDF ya Kitabu cha JORAM KIANGO LAZIMA UJE au kwa jina lingine lolote... Kuna movie moja nakumbuka niliiona ya...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
HEKALU LA WACHAWI sehemu ya 02. Inaendelea...Kuanzia kipindi hicho nilibaki mkiwa mimi Pamoja na mdogo wangu mmoja wa pekee wa kiume aliyeitwa James. Baadae kidogo baada ya matanga ya baba yetu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
HEKALU LA WACHAWI sehemu ya 01. Mwandishi,, @NijoSenso Katika dunia Kuna mambo mengi sana yaliyojificha kuliko yanayoonekana. Mwenyezi MUNGU mwenye uwezo aliumba viumbe wengi sana wanaoonekana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwimbaji Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ amefunguka mengi kuhusu baba yake mzazi anayefahamika kwa jina la Mzee Omary Nyembo baada ya baadhi ya mashabiki zake kumbebesha lawama kuwa hamjali mzee wake...
0 Reactions
5 Replies
997 Views
Anak, viumbe kutoka nibiru waliokuja duniani na kukutana na dunia iliyokuwa imejaa sokwe weupe na weusi, na jitihada zao katika kuunganishi genie zao na za viumbe ilivyovikuta duniani ili...
1 Reactions
3 Replies
853 Views
Nyimbo za kisukuma zimekuwa zikipigwa sana maeneo mbalimbali na kona zote za nchi, na kwenye maharusi, kumbi za starehe na kwenye ndoa za watu wote nchini. Huu uzi utakuletea majina ya wasanii...
4 Reactions
14 Replies
5K Views
Mara nyingi nimekuwa nikimsikia akishirikishwa na baadhi ya wasanii, swali kubwa nikawa najiuliza huyu msanii ana kipi hasa spesho? Katika pitapita zangu mitandaoni nikakuta wadada wanajirekodi...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Huu ni Kwa Mujibu wa Watu wa Industry Ya Music - Impacts, album ya Prof Jay na Afande Sele ukiachana kuwa na mawe mazito pia zilileta ushawishi mkubwa kwenye Bongo Flava. Kwa miaka hiyo Dansi...
2 Reactions
0 Replies
734 Views
MKUFU WA SHANI (2) IMETUNGWA NA BEKA MFAUME [The Greatest] ILIPOISHIA Kabla hajateremka kutoka kwenye gari ambalo tayari lilishaegeshwa kwenye maegesho ya nyumbani na mume wake aliyekuwa...
5 Reactions
2 Replies
2K Views
Yaani ziwe katika mfumo wa Tamthilia ama Filamu. Weka hapo chini_ Kisha sisi (KS Entertainment kwa kushirikiana na muandaaji wa hiyo simulizi tutafanya Jambo kwaajili yenu).
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Ni swali ambalo mara nyingi naulizwa sana na watu wanaogiza au wenye matamanio ya kuigiza. Jibu langu huwa ni ndefu na linaloshirikisha sekta nyingi sana za filamu. Secta zenyewe ni kama...
3 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari member wa JamiiForums ningependa kuwaleteeni Riwaya ya ndugu mwandishi Kelvin kagambo ili tuelimike na kubuludika pamoja. ======== RIWAYA: MWANAMKE KAMA MAMA YANGU MTUNZI: KELVIN DONATUS...
5 Reactions
50 Replies
12K Views
Idon't wanna wait in vain for your love I don't wanna wait in vain for your love From the very first time I placed my eyes on you, girl My heart says follow through But I know, now, that I'm way...
7 Reactions
9 Replies
2K Views
Poleni na majukumu wakuu, Niende kwenye mada. Kwa wale ambao washaangalia filamu flani za Kimarekani zinaitwa THE PURGE nadhani wanaelewa nini kilikuwa kinafanyika mule, kwa wale ambao hawajawahi...
0 Reactions
0 Replies
572 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…