Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,362
Basi bhana kunasiku nilikuwa nimetoka shule. Nimwezi wa kumi na tumemaliza kidato cha nne na nilikuwa na raha sana.
Basi bhana kufika Moshi Mjini nilikuwa na dada alikuja na taxi tukatuwa Moshi stendi.
Tukaonelea jua linawaka ngoja tukale kidogo na kutuliza kiu. Basi bhana ile tu nashuka kwenye taxi na dada kabaki amlipe dereva pesa ya usafiri, wakutoka shule hadi hapo stendi weh nakutana na kijana mzuri naye anashuka kwenye basi nimkali kinyama.
Nikapigwa na butwa, nikatoa hadi mate kama paka aliyeona samaki aliyewekwa viungo akaangwa kwa ufanisi wa hali ya nyota 5. Naye kumbe kaelewa somo akaja mambo, poa, mzima, najibu mzima ninaharaka kaka ananisubiri, ila kweli wewe mwanadada mzuri sana, macho yangu yamekuona wewe tokea nashuka kwenye basi!
Basi akashika mikono yangu kwa upendo nakuondoka. Ila alinibusu shavuni kuonyesha upendo, akaenda alisema "See you soon".
Kaka yake kumbe alituona nakavunga ile kaenda, najilaumu sijapewa namba yake kuangalia mkononi nikitu gani kizito, ni karatasi kadogo ameeniandikia namba yake londoni. Nikahifadhi kwenye simu ya dada yangu tukaondoka kuelekea Polisi Mess kula nyama.
Je nilimwona tena londoni au ilikuwaje?
Mkipenda kujua nini kimeendelea weka maoni "Endelea" mkifika kumi nitaendelea.