Maisha na Muziki

Maisha na Muziki

Godykai

New Member
Joined
Oct 6, 2022
Posts
4
Reaction score
3
Harmonize anakwama wapi? Hivii mnadhan kwanini CHEED na KILLY wamejitoa Konde Gang?
 
Amna pesa boss yuko bize na MISHANGAZI madogo nao wapuuzi waliingia CHAKIKE Kule kings Music mbona walikua poa tuu...Walitoa SINA ikaHIT wakatoa MASOZY ikawa HIt wakaja na RHUMBA ikahit vzur tu wakaja na ile nyingine Kiba anaanza kama DJ inaitwaje? IkaHIT sasaaa wakaambiwa ooh Kiba hana amsha amsha waende kwa Konde anapesa atawapromote wakaingia Mkenge!Sasa nani atawapokea tena?? Wenzao kina K2GA na Tommy flavour wanakula mpaka mastar kina Lynn wametulia kwa KIBA pale bila presha yoyote...Ngoja tuone Hii muvi itashaje
 
Back
Top Bottom