Usiku ulikuwa mzito kuliko kawaida. Mvua ilinyesha polepole kana kwamba anga linafikiria kabla ya kuangusha kila tone. Kijana mmoja aitwaye Baraka alisimama dirishani akitazama taa za mbali za...
As a music lover, I believe I could name you many. What comes to my mind now & as an answer to your precise question is:
“I belong to you”, by Jacob Lee.
Enjoy!
Huyu mzee ni balaa, "Blacklist" ni moja ya drama underrated sana.
Nipo likizo namuangalia Raymond Reddington aka "Red"
Drama inaanza tu jamaa kajisalimisha FBI wakati FBI wamemtafuta miaka na...
kuna yoyote anatumiia aina hii ya android box (TV BOX MXQ PRO 4K 5G) na amesha wai kuweka app ya onstream ? Na bila kupata shida yoyote kwenye kuplay movies au series kwenye app iyo
maana me...
Walimu hasa mlioko vijijini. Najua hali ya ufundishaji ni ngumu lakni hakuna namna, komaeni na hizo kishikwambi angalau kukuza ndoto za vijana mfano kuna Dj arts, kuchora, kuimba nk. Ila zinakufa...
Aict Nyamikoma Choir wakiwa wanaimba katika Kanisa la Africa Inland Church Tanzania Buswelu Dayosisi ya Mwanza.Mtazame huyu mwimbaji mwenye magongo, anamtumikia Mungu kwa Furaha.
Sijui Wewe...
Mwaka 2025 ulijaa burudani ya muziki wa viwango vya juu kutoka kila kona ya dunia. Bongo Flava imeendelea kubeba utambulisho wa Afrika Mashariki, Afrobeat ikizidi kutawala majukwaa ya kimataifa...
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) muziki wa singeli unashika na unakubalika maeneo mengi hadi nje ya nchi lakini pia ni muziki ambao asili yake ni...
Haji Manara amejiunga na WASAFI FM na kuuangana na Oscar Oscar, Edo Kumwembe, na Adela Tilya kwenye kipindi Cha Leo na Jana.
Mara baada ya kukaribishwa, ameshaanza kuwa domokaya kiasi cha...
Tangu uzakiwe mpaka unaanza shule ukijumlisha nyimbo zote ulizowai kusikia kuanzia mabata madogomadogo yanaogelea, napenda kuhesabu namba, hadi nyimbo za bongofleva nyimbo za dini zote, nyimbo...
Kwa mimi binafsi
Kwa March kuna
1.Stan bakora na mwenzake aisee content zao ziko so unique ni fupi haziboi halafu hazivunji sana maadili, no wonder why makonda amewahi kumsifia stan yuko vizuri...
Habarini za kutwa wanajamvi ,bila shaka wote mko bìèn!.
Kwanza kabisa nianze kwa kusema ninayo mikasa miwili ambayo nimewahi kuishuhudia kwa macho yangu na kuifanya kwa mikono yangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.