Naomba List ya Movies zenye maudhui ya kusikitisha

Kipenseli

JF-Expert Member
Feb 9, 2020
800
1,050
Kwa mfano 1. Kogustaki Muscize (Miracle in Cell no.7)

2. A Boy in the stripped pajama..

Hata kama ni ya kiafrika, iweke hapa nikalie

FB_IMG_1705767065046.jpg
 
A man called Otis

Pursuit of happiness

A bridge to terabithia
(hii imetengenezwa kutoka kwenye kitabu cha watoto, ina mambo ya kitoto kidogo, main characters ni watoto ila naamini hata mtu mzima itamgusa, iliniliza sana)
 
Kuna mambo watu mnayachukulia wepesi.

Lkn kumbe yana madhara makubwa unatafuta movies zenye huzuni bila ya kujua baada ya hapo una chance kubwa ya ku'affect your actions.
 
  1. "Schindler's List" (1993) - Filamu inayoelezea hadithi ya Oskar Schindler, mfanyabiashara wa Kijerumani ambaye aliokoa maisha ya Wayahudi wakati wa Holocaust.
  2. "The Pursuit of Happyness" (2006) - Msingi wa hadithi ya kweli, filamu hii inamfuatilia Chris Gardner, mwanamume mwenye matatizo ya kifedha na kuishi katika mazingira magumu, anavyopambana kupata mafanikio na kujenga maisha bora kwa mwanawe.
  3. "Grave of the Fireflies" (1988) - Filamu ya Kijapani ya uchungu inayosimulia maisha ya ndugu wa Kijapani wakati wa Vita vya Kidunia vya Pili.
  4. "The Green Mile" (1999) - Msingi wa riwaya ya Stephen King, filamu hii inamwelezea Paul Edgecomb, afisa wa magereza, na uhusiano wake na mfungwa mmoja aliye na uwezo wa kuonyesha miujiza.
  5. "Life is Beautiful" (1997) - Filamu ya Kiitaliano inayofuatilia hadithi ya mwanamume anayejitahidi kulinda na kumfariji mwanawe wakati wa mauaji ya Holocaust.
  6. "Dancer in the Dark" (2000) - Filamu ya muziki yenye maudhui ya kusikitisha inayoelezea maisha ya mwanamke anayekabiliwa na matatizo ya kuona na anayepambana na hali ngumu katika maisha yake.
  7. "Hotel Rwanda" (2004) - Msingi wa hadithi ya kweli, filamu hii inaonyesha jinsi meneja wa hoteli ya Rwanda anavyojaribu kuokoa maisha ya watu wakati wa mauaji ya kimbari ya mwaka 1994.
  8. "The Boy in the Striped Pajamas" (2008) - Msingi wa riwaya, filamu hii inasimulia urafiki kati ya mvulana wa Kijerumani na mtoto Myahudi katika kambi ya mateso ya Nazi.
 
Schidler Llist
 
Kuna mambo watu mnayachukulia wepesi.
Lkn kumbe yana madhara makubwa unatafuta movies zenye huzuni bila ya kujua baada ya hapo una chance kubwa ya ku'affect your actions.
Wewe unapendelea movie zipi?
je hazikuaffect kivyovyote?
 
The Banshees of Inisherin (2022)

Portrait of a Lady on Fire (2019)

Blue Valentine (2010)

The Way We Were (1973)

The Sisterhood of the Traveling Pants (2005)

Pieces of a Woman (2021)
 
Hii movie Chow anakufa,yaani adui kuu na star wa movie wanakufa pamoja kama sikosei. Kulikuwa na usaliti wa marafiki kama sikosei. Niliiona zamani sana kipindi Niko kama std 6 hivi
Yap uko sahihi tena wanakufa mbele ya dada yake ambaye ndo mke wa Chow.. huyu dada alikua kipofu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom