nzalendo
Platinum Member
- May 26, 2009
- 13,037
- 14,995
Naam huu wimbo ulikuwa unapigwa sana WAPO Radio Dar el Salaam Miaka ya 2013 na 2012 mwishoni...,,
Una mahadhi ya kama nyimbo za South vilee....
MANENO YAKE
Baba nipe Roho wako
Aniongoze,anifundishe
Bwana Yesu nipo Roho
Akae ndani yangu
Sasa kina nani wameuimba...sijui
Nitaupata wapi?,,,sijui
Na bahati mbaya sana Tanzania hatuna MUSIC BANK..
Basi kwa mwenye nao...NITASHUKURU au kama una idea ni nani wameuimba ili niendelee kuutafuta,
NATANGULIZA SHUKRANi