Mtoto wa Baba Paroko : SEHEMU YA KWANZA
Erick Amuona Lucia Kwa Mara Ya kwanza
“Amani ya Kristu iwe nawe” “Iwe nawe pia” walikuwa ni Eric na Lucia wakipeana mikono ya amani katikati ya ibada ya...
Ilkua Ni Siku ya alhamis jion,
Katikati ya ugomvi uliosababisha tukawa tumenuniana sana na Mchepuko Wangu wa Siku zote Mama J.
Kuna vitu vya kijinga alijiongelesha mbele yangu tukiwa kitandani...
Fareed Kubanda, broadly known as Fid Q, The Tanzanian Hiphoop artist, activist, and one of the unique Icons of Tanzania in music industry, is probably the most cheered Hip-hop artist in the whole...
Habari wapendwa? Poleni na jukumu zito la ujenzi wa nchi yetu nzuri ya Tanzania. Ama baada ya salamu niende kwenye maada moja kwa moja. Leo nimeona nilete simulizi kumi kali nilizowahi kusoma hapa...
Naam Kwa Mara Nyingine Tena, Hii Ni Kwa Wale Wapenzi Wa Simulizi Mzuri Zenye Kusisimua Kutoka Kwa EDGAR MBOGO Leo Nakuletea Simulizi Mpya Inayokwenda Kwa Jina La (KIFO CHA HAWARA (Mkono Wa Jini)...
Once again tunakutana kwenye mchezo bora huu hapa. Tukapate kumsoma secret agent mmoja ambaye alikuwa assigned kuwa mlinzi wa raisi.
Lakini baadae anagundua kwamba mfumo hauko sawa na yeye ndiye...
Naam Kwa Wale Wapenzi Wa Simulizi Mtumzi Wetu EDGAR MBOGO ametuandalia Kigongo Kingine Hichi Sio Cha Kukikosa Kitakujia Hapa Hapa Jamii Forums,
Kwa Wale Ambao Wamesoma Simulizi Ya (Asali...
Sehemu ya Kwanza
Nikiwa tayari nimekaa kwenye kiti changu ndani ya Basi, nasubiri muda ufike tuanze Safari kuelekea jijini Mwanza, tukitokea jiji la Dar es salaam.
Natazama nje ya Basi naona...
RIWAYA: HATARI
Imeandikwa na Halfani SUDY
SIMU 0629 360357
Hii ni sehemu ya kwanza.
MLANGO wa ofisi yake ulisukumwa kwa nguvu, kwa haraka, macho mawili ya Daniel Mwaseba yaliangalia pale...
Naona kwenye mitandao inasemekana kwamba tanzania kuna wasanii wanaofanya bongo movie wakitajwa utakuta kina ray kigosi, Steve Nyerere, Toni Muya, Niva super Marioo, Pastor Muyamba n.k lakini...
Call it love and devotion
Call it the mom's adoration (foundation)
A special bond of creation, hah
For all the single moms out there
Going through frustration
Clean Bandit, Sean-Da-Paul...
this song is Goated 10/10
aliyeutunga Mungu abariki kalumu yake alete tena kitu kama hiki ...
na huyu jamaa wa kuitwa Tikiti kaumix vizuri sana aisee
wimbo gani unakubariki siku hii ambayo bwana...
Chiku alikuwa aenda hotelini jioni waonane ili Afande ampe zawadi kutoka kwashangazi yake Bongo.Chumbani kwa Akande Manyota Hotelini. Afande Manyota anamngojea Chiku kwa hamu. Chiku anabisha hodi...
Ni wazi kwa sasa hawa ndo underground hiphop artists ambao kwenye upande wa mitindo huru ni wa moto sana
Tuone odds unampa nani ikitoka kweli pesa ikawekwa mezani
Yededede vs kadkitengo vs...
Nilishawahi kumuuliza mama swali, asubuhi moja kupindi bado mdogo, alikuwa anakanda unga wa ngano kwa ajili ya biashara yake ya chapati, muda mfupi kabla sijaenda shule.
Swali lilikuwa kuhusu...
Salam,
Huu mnanda marehemu Lupozi bwana katuachia moja kati ya sanaa/ngoma isiyochuja sababu inazungumzia hali halisi ya miaka yote katika nchi hii kutoka kwa watu wenye vipato duni.
"Maharage...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.