Sijui ata nini kimewakuta hawa jamaa tokea COVID-19. Yaani tokea Avengers: Endgame ya 2019 kusema kweli sijaona movie kali tena.
Movies zao baada ya Endgame:
Movies:
Spider-Man: Far From Home...
Alka Yagnik na Kumar Sanu ni waimbaji wawili maarufu wa India waliotawala muziki wa filamu za Kihindi (Bollywood) hasa katika miaka ya 1990 hadi 2000. Sauti zao zenye hisia na ushirikiano wao na...
Story ya movie ya The Dutchman (2025) kuna namna fulani km imenigusa. Jinsi ilivyoanzia mpaka ilivyoishia.
Kuacha maelezo mengi km umeiangalia hii movie kuna kitu inasimulia kwa wale watu...
Kuanzia miaka yaa 1990 hadi 2010 ndio ulikuwa mwisho wa mziki mzuri, mziki mtamu, mziki ulioenda shule, mziki wenye burudani elimu na tafakuri, mziki unaotia hamasa ya kufanya kazi kwa bidii na...
Ni miaka mingi kama 15 iliyopita, mimi, dada zangu 2 na waume zao na kaka zangu 3 na wake zao,tulienda zanzibar kwa mwaliko wa rafiki wetu wa familia,ni mtu mkubwa serikalini hivyo siwezi kumtaja...
Kampuni ya Universal Music Group East Africa imetangaza rasmi ushirikiano wake na Mwimbaji Staa wa muziki wa Afrika Mashariki, Lady Jaydee ambaye anatambulika kama mmoja wa sauti zenye ushawishi...
Ni vizuri wale wana ojua chimbuko la muziku wakatupatia historia yake fupi.
Pia naiona ni kama modern zouk hivi (zouk iliyochangamka)
Kwa wale wasiojua style ya kompa kibongo bongo wasikie wimbo...
Kama wewe ni dj au mdau wa muziki.hapa unaweza kusikiliza na kudownload nyimbo zilizotengenezwa na madj. Yaan mixing au nonstop mix kutoka djs mbalimbali
PIA UNAWEZA TEMBELEA CHANEL YANGU YA...
https://youtu.be/wcK3l4KHXY4?si=siBxITGpZlXWmDha
Humu kuna Chid, Cannibal Kichwa Kibovu, Jones mwenyewe, Belle 9, Stamina na Jay More
Nani amefunika wengine? Kwangu naona Cannibal kachana vibaya...
https://youtu.be/on0XIvFqJV4?si=_zK9Ex1gcfPCnxtQ
Solo Thang kamchana vibaya vibaya Shangazi Kaja. Kafukua kila kona ya aliyofanya Shangazi Kaja.
Huyu Shangazi ni nani?
Uganda’s Kikomeko Owen Rawlings has put on a historic performance, delivering an incredible 28 hours and 5 minutes of continuous beatboxing in Kampala. The performance has drawn widespread...
Alhaji Taikuni Ally a.k.a mchizi Mox
Mambo vipi..?
Mambo vip..?
Sharo Tina Tina
Verse.. 1
"Watu wangu wa Bongo mambo Vip.?
Poa..!!
Watu wangu wa Ng'ambo mambo vipi..?
Poa..!!
Haina shobo...
Katika kinyang'anyiro kikali cha kuwania tuzo ya Muigizaji Bora wa Kiume (Best Actor), staa wa filamu ya Sinners, Michael B. Jordan, ameibuka kidedea kwenye Tuzo za 98 za Academy (Oscars)...
D. ROB " VERSE "
Oh Nakuja na Check na flow hi.!!👋 Hodi hi.!!👋 oooh/
Mlango uko wapi?
Kama funguo ni Elimu niwe juli kama Mwalim/
Ni funge hizi takwimu/
Yoh..!!
Rap mahesabu/
Isiwe Taabu/...
RIWAYA: MAITI INAYOTEMBEA.
MTUNZI: RONALD
NAMBA YA SIMU: 0694840213.
SEHEMU YA 1.
Jina langu ni Masanja mabula, jina nililopewa na wazazi wangu wangu bwana na bibi mabula kwa kiligha...
Jopo la majaji huko Los Angeles limemuamuru rapa wa Marekani Kanye West kumlipa dola 140,000 (takriban Tsh. 365.4 Milioni) fundi wa kazi za mikono aliyemshtaki kwa kutolipwa malipo ya kazi wakati...
Mwanamke mwenye umri wa miaka 35 kutoka Orlando, Florida, ameshtakiwa kwa jaribio la mauaji kufuatia shambulio la risasi katika jumba la kifahari la mwanamuziki maarufu duniani, Rihanna...
OOOH ZAHIR ZORO MOTO WA ALLAH HAUZULIKI
Mzee Zahir Ali Zoro — Mmanyema wa kabila, mzaliwa wa Uislamu — kwa bahati mbaya aliteleza katika mtego wa anasa za dunia. Akauacha Uislamu, dini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.