Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

1: Kamanda - daz nundaz 2: Starehe - ferouz 3: Mzee wa busara - juma nature 4: Zeze - TID 5:Vaileth - matonya 6: Cinderella - ali kiba 7: Bembeleza - marlaw 8: Hakuna kulala - juma nature...
1 Reactions
3 Replies
294 Views
Wakuu ambaye anazijua ngoma kali za Msanii THE WEEKND naomba ashushe playlist nataka kuzipakua. Naona jamaa kama hatari sana.
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Nipo hapa nasikiliza nyimbo ya mkali kutoka USA Lil Wayne inaitwa Mirror Hii nyimbo kaelezea kwa kutumia neno mirror akimaanisha kioo kuwa katika haya Maisha tunaishi huwa Kuna nyakati tunapitia...
22 Reactions
48 Replies
7K Views
Ikitokea jamaa yako katekwa na una nafasi ya kumtuma mtu mmoja tu kwenda kumuokoa… unamchagua nani? 😄 Arnold Schwarzenegger Sylvester Stallone Bruce Willis Chuck Norris Chagua mmoja na utupe...
0 Reactions
1 Replies
270 Views
VITU VYA KUZINGATIA PINDI UENDAPO KUNUNUA SABUFA (RADIO) Je, huwa unazingatia nini ukitaka kununua sabufa? leo nimekuja na elimu bora ya kuwajuza vitu vya kuzingatia ukitaka kununua radio. wengi...
10 Reactions
21 Replies
779 Views
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limesema kuanzia Februari 06, 2026 waongoza sherehe, burudani na matukio (MCs) pamoja na Manju Muziki (DJs) wote wasio na vibali halali vya BASATA hawataruhusiwa...
1 Reactions
17 Replies
362 Views
Kwa mfano 1. Kogustaki Muscize (Miracle in Cell no.7) 2. A Boy in the stripped pajama.. Hata kama ni ya kiafrika, iweke hapa nikalie[emoji28]
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Kuna pindi Tu inatokea wimbo Fulani ukaupenda Sana yaani unaweza Ku repeat hata mara 100 na usione shida hasa kwenye safari mfano kwenye bus umevaa zako earphones Mimi kwa sasa.. nitaamini...
11 Reactions
97 Replies
4K Views
Mkasa : MKUKI KWA NGURUWE Mwandishi: MSUYA M MSUYA (EMUTHREE) Imeletwa kwenu na: BURE SERIES SEHEMU YA 1 Ni kisa na mkasa, chenye mafunzo ndani yake, kinachotokana na ushauri wa kirafiki kati...
3 Reactions
211 Replies
42K Views
Chombezo………….BAO TATU ZA MGENI! Umri…………………..18+ Sehemu ya 1 Ngurumo na radi vilitawala,huku wingu zito likitanda,ilikuwa ni dalili kuwa muda wowote mvua itanyesha,tena siyo ya rasharasha...
20 Reactions
354 Replies
539K Views
Kuzaliwa: 10 Aprili 2003 (Miaka 23) Utaifa: Cameroonian Urefu: 193Cm Kwa sasa huyu dogo anatisha sana UFC. Wanamuogopa kama ukoma maana dogo ana "Ngumi Jiwe" haswa...
0 Reactions
0 Replies
162 Views
Naam huu wimbo ulikuwa unapigwa sana WAPO Radio Dar el Salaam Miaka ya 2013 na 2012 mwishoni...,, Una mahadhi ya kama nyimbo za South vilee.... MANENO YAKE Baba nipe Roho wako...
4 Reactions
4 Replies
274 Views
Nimefungua thread hii maalum kwa ajili wapenzi wa nyimbo za oldskool, miaka ya '90s kurudi nyuma. Unaruhusuwa kuomba wimbo wowote wa oldskool wa nje (sio bongo fleva), na tutaweka hapa. Hii ni...
15 Reactions
105 Replies
19K Views
Uzi huu nimeuanzisha kwa ajili ya kukumbushana misemo mbali mbali ambayo ilizuka na kupotea katika Generation mbalimbali ambazo tumepitia , mpaka leo hii Lengo ni kucapture kumbukumbu ya baadhi...
3 Reactions
35 Replies
498 Views
Kwema wakuu. NYIMBO ZENYE MIDUNDO ya huzuni huwa zina madhara gani? Kuna kipindi fulani nilikuwa nazisikiliza sana, mtu akanambia achana na hizo nyimbo kwa usalama wako. Nyimbo hizi zina madhara...
14 Reactions
88 Replies
3K Views
Today marks 8 years since Popular Uganda Muscian Mowzey Radio passed on. But Eight years down the road, his music still sounds like newly released songs and even better than most popular artists...
1 Reactions
3 Replies
127 Views
HEKAYA ZA ABUNUWASI KISA CHA ABUNUWASI NA MFALME SIKU moja alfajiri, wakati wananchi wa mji wenye wakazi wengi walipokwenda kuchota maji mtoni, walishangazwa kuuona mkono wa mtu ukiwa katikati...
16 Reactions
44 Replies
43K Views
Sioni kama ni vyema mashabiki zetu kuwa na chuki na sisi wasanii wenu,wasanii wa mataifa mengine wameendelea kwa sababu mashabiki wa Nchini kwao wanawasapoti kwa moyo mmoja"Amesema Jux
5 Reactions
12 Replies
313 Views
Baada ya kushindikana kwenye shule moja ya jeshi iliyo mkoani. Brother akanipa second chance nikahamia shule moja binafsi mjini Dar. Nililazimika kurudia form 3 maana mwaka uliopita nilisoma miezi...
11 Reactions
56 Replies
21K Views
GT Hawa watu hawana dogo. Huko insta na tiktok hali si hali. Hawaongei kiswahili ni kisukuma tu mwanzo meisho. Sijajua kama huko tiktok kuna kabila jingine lina contents creators wengi kama hawa...
4 Reactions
32 Replies
624 Views
Back
Top Bottom