barcelonista
Senior Member
- Apr 26, 2021
- 158
- 150
Wakuu ambaye anazijua ngoma kali za Msanii THE WEEKND naomba ashushe playlist nataka kuzipakua. Naona jamaa kama hatari sana.
Asante mkuuNaupenda The Hills.
Nyimbo zake zina controvery hivi za kimapenzi na tempo yake pia is so amazing.

,Njoo album ya Starboy aaf malizia na hii ya mwisho ya After hours..
Fundi sana huyu jamaaMimi kama shabiki ake namba moja nakushushia list apa..Ngoma za jamaa zote ni Kali,,Kuanzia EP yake ya My dear Melancholy ngoma zote ni,Njoo album ya Starboy aaf malizia na hii ya mwisho ya After hours..
1:Call out my name
2:The Hills
3😛arty monster
4:Reminder
5:Starboy
6:I can't feel my face
7:Blinding lights
8:Save your tears
9:Love me harder ft Ariana Grande
10:I feel it coming ft Daft punk.
Zichukue izo bro utanishukuru,,ila ningeshauri u'download album zake2 zote maana ngoma zote mle ni shida,jamaa ni balaa uyu
Naupenda The Hills.
Nyimbo zake zina controvery hivi za kimapenzi na tempo yake pia is so amazing.

brother kitambo sana aisee afu nimekumisi walaqhiVincenzo Jr nimeanza kuwa bro kitambo mazeee
Tukutane wapi leo brodha weekend imeanzabrother kitambo sana aisee afu nimekumisi walaqhi
Sogelea hapa mitaa ya tegeta wazo plaza tupate biaTukutane wapi leo brodha weekend imeanza
Braza situmiagi bia sio mambo zanguSogelea hapa mitaa ya tegeta wazo plaza tupate bia