Sioni kama ni vyema mashabiki zetu kuwa na chuki na sisi wasanii wenu,wasanii wa mataifa mengine wameendelea kwa sababu mashabiki wa Nchini kwao wanawasapoti kwa moyo mmoja"Amesema Jux
Baada ya kushindikana kwenye shule moja ya jeshi iliyo mkoani. Brother akanipa second chance nikahamia shule moja binafsi mjini Dar. Nililazimika kurudia form 3 maana mwaka uliopita nilisoma miezi...
GT
Hawa watu hawana dogo. Huko insta na tiktok hali si hali. Hawaongei kiswahili ni kisukuma tu mwanzo meisho.
Sijajua kama huko tiktok kuna kabila jingine lina contents creators wengi kama hawa...
Yaani bongo muvi ni ufuska mtupu umejaa tu pale hakuna kitu mule
Ni ajabu ya kiwango cha lami serikali kupiga marufuku media za ngono halafu ikaruhusu bongo movie iendelee
Wakuu…
Mimi sio mpenzi sana wa haya matamthilia ya nyumbani. Ila hii Kombolela ni moto mwingine.
Nimejikuta naifatilia na kuipa muda. Mtunzi apewe maua yake. Wahusika wameua sana hasa Kobisi...
Thread hii ni maalumu ya kutambulisha muziki huu ambao juhudi za kuukwamisha zimeshindikana na sasa unachukua sifa duniani kote.
Katika thread hii tunaweza kupakia(upload ) na kusikiliza singeli...
Wakuu,
Wakuu,
Tujikumbushe maneno maarufu ambayo lazima uyasikie kwenye series za Kikorea
Anyeonghaseyo
Saranghaeyo
Yeoboseyo
Ahjumaa
Ahjussi
Kamsamnida
Oppa
Nyie wenzangu mnakumbuka...
Burna Boy and Sporty Group Unveil New Single “For Everybody” and Visual Tribute Celebrating Africa’s Vibrant Sports Heritage and Cultural Excellence
Dave Meyers-directed music video showcases top...
Burna Boy and Sporty Group Unveil New Single “For Everybody” and Visual Tribute Celebrating Africa’s Vibrant Sports Heritage and Cultural Excellence
Dave Meyers-directed music video showcases top...
Hii movie itakuja December 2026. Ila wameanza teasers recently.
Sasa kuniambia Steve Rogers Captain America atakuwepo wakati tulioka kwenye End Game kilichotokea mnatumix.
Nimeona Thor amekua...
Waziri Mkuu wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Januari 18, 2026, ameungana na waumini wa Kanisa Kuu la Anglikana la Roho Mtakatifu jijini Dodoma katika ibada ya Jumapili, ambapo amesisitiza...
Story na Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Tamaa, Hila, Usaliti, Unyanyasaji, Uhalifu, Mauaji, Visasi, Vita, Mambo yasiyotazamiwa
Rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA KWANZA...
Huu wimbo wa Mwanajua unapatikana Katika Album yake ya The Verteller, ndani ya huu wimbo kunamistali ambayo dizasta ananukiluliwa akisema
."walimwita mwanajua maana alijua yvote,,
hakwenda shule...
RIWAYA; MTUHUMIWA
MTUNZI; HUSSEIN TUWA
SEHEMU YA KWANZA.
Daily News, Julai 12 (Imetafsiriwa):
Jambazi hatari linalojishughulisha na biashara ya madawa ya kulevya huko Marekani ya Kusini...
Kuna mkasa hapa niliwapa ambao age ikishafika ndio basi katika mahusiano.
Katika nyimbo zangu pendwa hii nyimbo nilitumiwa kipindi kabla sijajua umuhimu wake kipindi hiko kama salamu za barua...
Natumai mpo vyema wakuu
Nimeona nianzishe uzi maalumu wa kutupia dialogues, nukuu, misemo, n.k uliyo ikubali kutoka kwenye series au movie yoyote
"Arya would rather act like a beast than a lady"...
Mwanzoni mwa miaka ya 2000 kurudi nyuma mpaka miaka ya 90, tulikuwa na kizazi cha kipekee ya burudani, wazee wa Disco Vumbi. Watoto mwisho saa 12 jioni kisha saa 1 usiku mpaka majogoo ni mwendo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.