Kuna nyimbo hazitakuja kupotea vizazi mpaka vizazi kwa sababu maDJ wanarithishana kadri miaka inavyokwenda mbele. Kuna nyimbo moja ya sebene au rumba ya congo nimeisahau inaitwaje lakini itakuwa...
Wadau wa nyimbo za zamani zile Kali Kali Naomba mniandikie hapa chini nataka kumchukilia mzee wangu Flash then nimuwekee nyimbo .
Pia na za ki-congo na hata za kizungu za miaka ya zamani zile nzuri.
Hadithi hii ni ya kweli Kuna vitu vingine siyo halisi imebidi niviweke ili kuleta radha pia mimi sio mwandishi ila nimeweka tu kwa lengo la kujifunza na kutoa mafunzo kwa jamii
ilikuwa siku ya...
Mzuka Wanajamvi!
Wimbo mzuri wa Riziki ulioimbwa na K Basil akimshirikisha Bizimana na mwanamama Stara Thomas. Huu wimbo ni special dedication kwa Shujaa wetu mpendwa ndugu Majaliwa Jackson...
The African Giant, Burna Boy ametangazwa Msanii Bora Afrika katika Tuzo za Muziki za MTV Ulaya (MTV Europe Music Awards – EMA) kwa mwaka 2022, na kuongeza unyoya mpya kwenye kofia yake kubwa...
Black Panther: Wakanda Forever.
Lipi linakujia kwenye fikra zako ukijaribu kuiwaza Afrika bila ya mipaka? Afrika ambayo haitafsiriwi tena na tukio la kihistoria lililotokea Berlin mnamo mwaka...
BEYOND PAIN
SEHEMU YA 1
MTUNZI : PATRICK .CK
Ni saa kumi jioni nikiwa maeneo ya Kimandolu nikielekea Usa river katika baa iliyotulia ya Roterdam garden mahala panapofanyika vikao vya harusi...
Best song
Bad Bunny, Chencho Corleone – “Me Porto Bonito”
Harry Styles – “As It Was”
Jack Harlow – “First Class”
Lizzo – “About Damn Time”
MSHINDI: Nicki Minaj – “Super Freaky Girl”
Rosalía –...
Top ten Bongo movie series of all time.
Licha ya tasnia ya bongo movie kukubwa na changamoto nyingi kama ukosefu wa soko, badget ndogo ya kutengenezea film, Ukosefu wa watu wapambanaji na...
Kila mtu anajua leo hii kuwa Wasafi Tv na Wasafi FM ndiyo media ambayo zimepata nguvu ya kushabikiwa kwa muda mfupi na kupata watazamaji na wasikilizaji wengi.
Huenda labda ushawishi huo umekuja...
Hawa viumbe kila mmoja alikuwa Bingwa kwa Ulingo wake, Mike tyson alisumbua ulingo wa boxing na kujizolea umaarufu kwa kushinda mechi 50 (KO 44). Bruce Lee alisumbua ulingo wa martial arts...
KIKOKOTOO
David Ngocho Samson
UTANGULIZI
Hakuna aliyejua sababu ya madhila yaliyomkumba mstaafu, tena ambaye enzi za ujana na maisha yake ya Kazi, alikuwa mtu aliyekuwa na nafasi nzuri, na...
Angalizo:
Nchi inayotajwa kama Nchi yetu, haina uhusiano wowote na nchi ya Tanzania.
Sehemu ya Kwanza
Komandoo Mako alikimbia akiwa kashika kidege kidogo kisichokuwa na rubani, baada ya umbali...
Matamasha makubwa ya wasanii tuliyokuwa tunayaona miaka ya nyuma kama Fiesta na mengine ya Vituo vya Redio naona yanazidi kupoteza mvuto, shida nini wadau?
Matamasha haya mengi imekuwa kiingilio...
SULUHU CONCERT 2022
Tamasha kubwa maalumu lililoandaliwa na Msanii Lady Jaydee suluhuconcert kufanyika Tarehe 12 November 2022 Hyatt Regency Dar es salaam.
#NaSimamaNaMama
Msanii Omary Nyembo aka Ommy Dimpoz ametangaza kuachia album yake leo Ijumaa Nov 4, 2022 ambapo katika kuizundua amesema Rais Mstaafu Jakaya Kikwete ataongoza shughuli hiyo
"Tuna-launch rasmi...
Mtunzi Juma Hiza
Sehemu ya 01.
Huu ni mkasa ambao sitoweza kuusahau katika maisha yangu mpaka siku nitakayokufa.
Kwa jina naitwa Stella ni mtoto wa pili na mwisho kuzaliwa katika familia yetu...
HUYU NDIE MWANAUME[emoji67]
1. Anapenda maisha mazuri na anaamini kuyapata ni kufanyakazi kwa bidii
2. Anapenda mwanamke mwenye akili na utashi wa maisha ili amsaidie kutimiza ndoto zake na sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.