Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

MFUASI 01 * * Usiku ni rafiki wa giza! Naam. Giza hupambwa na nyota! Ndivyo. Lakini usiku huu haupo hivyo! Giza limenuna hakuna pambo za nyota wala nuru ya mwezi. Wingu zito limeteka utawala wa...
2 Reactions
15 Replies
4K Views
- "MY AMERICAN EXPERIENCE" kitabu changu kipya ambacho baadhi ya chapters zake zilisomwa sana humu JF, sasa kipo tayari kutakuwa na uzinduzi rasmi mwisho wa mwezi huu, na nitatangaza namna ya...
35 Reactions
172 Replies
18K Views
Wadau, hiv kuna mtu ana uzoef na M- KOPA(wakopeshaji wa TV) Wanaaminika??
0 Reactions
1 Replies
383 Views
Gwiji wa muziki wa Zaire hayati franco luambo makiadi aliwahi kuwa na mdogo wake wa kiume aliyeitwa Bavon Marie ambaye alikuwa mwanamuziki kama kaka yake,ila yeye anatajwa kuwa aliimba nyimbo za...
14 Reactions
93 Replies
18K Views
Habari kwa wakuu wote na wapenzi wa mziki wa reggae. Lengo la uzi huu ni kukutatisha nakukusanya nyimbo zote na vionjo ya mapigo/mdundo wa reggae. Hapa nitaanza kwa kuweka nyimbo...
2 Reactions
45 Replies
9K Views
Nikisikiliza vizuri kiitikio cha huu wimbo kama kuna wimbo unanijia akilini wa miaka ya kama 2005 au 2007 ila siukumbuki ni wimbo wa nani na unaitwaje,. Tena bila ya shaka utakuwa umefanana kila...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Bosi wa lebo ya Konde Music, Rajab Abdul ‘Harmonize’ leo Jumamosi Novemba 5, 2022 amethibitisha taarifa za kuachana na msanii wake Angelina Samson ‘Anjella’. Angela alitambulishwa kwenye lebo...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Tupeane series za kuangalia nzur pls za action/upepelezi/ugaidi Naomba zinazofanania na hizi Homeland Prison break Lastship 24 Naomba anayejua series zinazoelekea kma hizo pls nataka kuangalia...
3 Reactions
61 Replies
10K Views
Kwema wakuu, Hii thread ni special kwa wale wana JF wenzangu wanaopenda movie mbali mbali za kizungu, kihindi na kichina. Lakini kwa bahati mbaya wamesahau majina ya movie husika, pamoja na wale...
3 Reactions
11 Replies
4K Views
Episode - 01 Mvua kubwa
4 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari wakuu, Kuna movie inaitwa 'London Has Fallen' hiki chuma ni kikali hakuna mfano. In short hii ni movie best kwangu.
6 Reactions
13 Replies
2K Views
Jaman natafuta movie za survival za Marekani za kufanana na 47 Metres Down, Fall (ile ngazi kuharibika baada ya kupanda mnara), pia The Requin.
0 Reactions
2 Replies
519 Views
Marioo achana na huu mpango wa kumshirikisha Mondi. Huyu jamaa ukimshirikisha tuu umekwisha, ngoma itahit ndio lakini hautakuja utoe ngoma ingine ikafanya poa sokoni. Ni wewe pekee kwa sasa...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Rappers that have been influenced by Tupac: Kendrick Lamar Dax Eminem Kanye West Siddhu Musewala Drake Nas J. Cole 50 Cent DMX Nipsey Hussle Freddie Gibbs Polo G Meek Mill The Game and more...
2 Reactions
10 Replies
934 Views
Kituo cha Radio cha Nigeria Info 99.3 kimeripoti kwamba Polisi wa Lagos wamewakamata Wasaidizi wa kazi za nyumbani wa Msanii Davido na wanaendelea kuwahoji kufuatia kifo cha Mtoto wa Mwimbaji huyo...
0 Reactions
0 Replies
757 Views
kuna wimbo wa zamani umeimbwa na mwanamama akiimba '' sugar daddy sugar daddy...heri kufa masikini kuliko kusimangiwa heri kufa masikini kuliko kusimangiwa na walimwengu ee, tamaa iliuwa...
0 Reactions
6 Replies
12K Views
Habari wakuu, Naomba kunanza na Track hii ya Fid Q ft Juma nature, SIRI YA MTUNGI. Naandika mistari ya hii ngoma nitakapoishia atendelea mwingine hadi track kuisha, kisha mkuu mwingine anaweka...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimeangalia clip yake ya maigizo inayoitwa(kazi na ngono)katika igizo hili limeanza vema lakini ktk kumaliza nadhani lina utata. Joti aliigiza kama binti mwenye elimu ya digrii anayetafuta kazi...
23 Reactions
30 Replies
4K Views
Kitu kingine ukiachana na kuongea ukweli kuhusu wayahudi, Kanye amedai kuwa wasanii wengi walio Marekani ni waoga sana kiasi kwamba hawana sauti juu ya haya makampuni makubwa. Miaka miwili...
1 Reactions
2 Replies
554 Views
Hii tathmini nimeifanya kwa muda mrefu sana, takribani miaka 20 sasa. Nimejiridhisha kabisa baada ya miziki ya dini basi mziki unaofuata ni Hip Hop. Hip Hop ni jina lenye maana kubwa, pana na...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom