Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

"Hakuna njia nzuri na rahisi ya kushoot scene za namna hii. Ila lengo kuu ni kuhakikisha wahusika wameridhika na wako comfortable na tukio. Tunawapa actors uchaguzi wa kuachana na kuondoka kama...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Niseme tu kwa upande wangu ile filamu ilikuwa bora sana. Waigizaje wake walivaaa uhusika vema pia director alijitahidi. Ile kwa mm ndio project na tamthilia bora toka nchini kwetu. Huwezi...
6 Reactions
30 Replies
2K Views
Naombeni hii series Jamani
0 Reactions
2 Replies
370 Views
Baada ya kufariki kwa kushtukiza kwa rapa namba mbili wa Wenge BCBG yake JB Mpiana aitwae Faustine Nzinga Yankobo (jina la Kimuziki CELLULAIRE) ilichukua muda mrefu kumpata mrithi wa kumsaidia...
1 Reactions
33 Replies
2K Views
Jamaa kaandika sana, ni kama kaandika kitabu cha kukufundisha njia za mafanikio. Jamaa ni MWAMBA KWELI.[emoji1487][emoji1487][emoji1487][emoji1487] Ngoma yake ya Makasia ina vigezo vyote vya...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nasikia Kiingilio ni Bure na Bia nazo ni bure kwa idadi uitakayo halafu Wanawake wote wanatakiwa Kuvaa Madela ila ndani wawe Watupu tu Vile vile Watumbuizaji wakuu ni Christian Bella na Mboso na...
15 Reactions
38 Replies
3K Views
Habarini za saa hizi ndugu zangu!! Natumai afya zenu ziko salama kabisa Ngoja niende tu moja kwa moja kwenye mada husika. Hili swali linanipaga utata kidogo maana naonaga tu akina fulani...
0 Reactions
2 Replies
324 Views
Kama hujui hip hop au Kama umeujua muziki baada ya Diamond au kama umejua muziki wa hip hop baada ya kumsikia Nikki mbishi au Songa basi naomba uachane na huu uzi Maana itakuwa hujui nyimbo...
5 Reactions
41 Replies
8K Views
Familia zinazotumia NETFLIX majumbani kuweni makini kwani propaganda za ushoga zimeshamili ili kuandaa watu kisaikolojia ususani watoto wetu. Ushoga umeingizwa hadi kwenye cartoons za watoto...
0 Reactions
0 Replies
480 Views
Rapa huyo aliyebadili jina na kujiita 'Ye', ametangaza nia hiyo licha ya kufanya vibaya katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka wa 2020 aliopata Kura 60,000 kati ya Milioni 158.4 zilizopigwa. Katika video...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
imesisikitisha sana hii series maana niliingojea kwa hamu. Jamaa wamechukua story nzuri na kuiharibu kabisa. Uigizaji mbovu scenes nyingi za kitoto sana. pengine labda huko mbele itabadilika...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Amkeeniiiiii
0 Reactions
5 Replies
614 Views
Nawasalimu Great Thinkers, Kama kuna watu waliojaliwa vipaji na wamevitumia ni hawa jamaa wawili Diblo Dibala na Dally Kimoko, hawana utani wanapokamata mpini, mfano Diblo Dibala (Extra Boy)...
5 Reactions
376 Replies
95K Views
Nikiwa nasikiliza nyimbo hizi machozi hunitoka machoni, na kuona Dunia ni bure kabisa na ninahisi uwepo wa Mungu ndani yangu. 1. Matendo ya Mungu Hii beti hii; "Na kama Eliya upesi kabisa...
0 Reactions
1 Replies
587 Views
Nipe tano, salamu, gwara,.. wala si uhuni, peace and love kitu muhimu sana. Huu Ni wimbo wa Daz Baba akitoka Kama msanii aliejitegemea akiwashirikisha kundi lake Daz Nundaz, Ninavyokisakama...
1 Reactions
4 Replies
864 Views
HEKAHEKA - 1 Mtunzi: Japhet Nyang’oro Phone: 0762204166 “Jacob, napenda kuolewa ila haiwezekani” Alisema ilhali mikono yake ikiwa bado inaminya minya misuli ya mwanaume huyu huku pia machozi...
4 Reactions
55 Replies
14K Views
Dedication kwa Walamba Asali !!!! So much trouble in the world So much trouble in the world Bless my eyes this morning Jah sun is on the rise once again The way earthly thin's are goin' Anything...
3 Reactions
0 Replies
350 Views
Leo nimeona niwakumbushe wale wakongwe wenzangu wa enzi za miaka ya 1980 ambapo kulikuwa na Bendi iliyojulikana kama DAR INTERNATIONAL aka Super Bomboka ambayo iliongoza na Marijani Shaaban...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Salaam wazee wa kambi. Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, japo nilikua mdogo ila baadhi ya maneno katika nyimbo hizo nayakumbuka. 1. Muongo mbeya anauaa 2. Nyumba ya jirani yetu inateketea...
0 Reactions
1 Replies
649 Views
Back
Top Bottom