Habari zenu wakuu,
Kuna nyimbo nakumbuka mistari yake na kisa chake, sauti ya Saigon pia IPO kwenye hiyo ngoma,kisa cha nyimbo ni washikaji maisha magumu hawana pesa za mavazi wala maradhi...
Kwanza kabisa nisamehewe kwa mtu yeyote nitakaemkwaza kwa picha hii.huu ni wimbo wa injili uliojulikana kwa jina la NAKULILIA JEHOVAH.nimekua nikiutazama wimbo huu bila kuuchoka toka enzi za miaka...
Daaaah aisee huu wimbo wa Meja Kunta uitwao Demu wangu aliowashirikisha Mabantu ni mkali sana kuanzia audio mpaka video.
Video yake kali sana na amenikosha zaidi kwa kumuweka Tunda kwenye video...
"Oooh pesa oo pesa ,kila mtu anakuhitaji,katika dunia hii.
Oooh pesa una majina mengi ,oooh pesa wewe kitu gani"
Old is Good
Wakuu naomba msaada wa wimbo huu mana nimeutafuta bila mafanikio
Jamani leo nimeona sio mbaya nikishare muvi kali ambazo mimi nimezikubali mwaka huu2022. Muvi zenyewe ni hizo hapo
1. Minions Rise of Gru (2022)
2. The Bad Guys
3. Uncharted
4. Sonic the...
Oya wana kibaha eeeh!! Em njooni apa.
Hivi hii ndio finest yenu?
Yani kibaha nzima hakuna msanii wa maana mkaamua mtuletee huyu maarifa??
Ana maarifa gani? Anaimba utumbo gani?
Kuna mtu...
1. Children in the Street
2. Don't Cry
3. Feel Alright
4. House of Exile
5. Love Me the way I am
6. Mama Africa
7. Peace Perfect Peace
8. Prison
9. Puppet Master
10. Reap what you Sow
11. Reggae...
Zimebaki siku 30 tu hadi kufikia siku ambayo muendelezo wa filamu ya Black Panther kuanza kuonyeshwa kwa mara ya kwanza. Kama alivyopata kusema Baba wa Taifa hili Mwalimu Julius Kambarage Nyerere...
Wanasema Rama Dee,Ben Pol ni wakali sana Wa mziki wa R&B.
Ni ipi tofauti ya mziki wa R&B na Bongo Flava.
RnB inakuwa vipi? Beats,lyrics zimekaaje? Upi utofauti wake na muziki mwingine wa...
Ni wakati wa kupeana kumbukumbu za furaha na faraja za nyimbo nzuri za Noeli sambamba na waimbaji wake
Itapendeza pia kuweka na mashairi ya nyimbo & picha zao ili iwe rejea kwa wengineo
Mimi...
Naombeni msaada wa kuwekewa movie latest kwenye external yangu ya ukubwa wa gb 500,kama kuna mtu anaweza kufanya hio kazi anicheki kwa namba hii 0716647360 bei tutaelewana.
Habari,
Kwa wale wapenzi wa mangumi ya video kama mimi nadhani tunajua moto wa waigizaji wa action movies hasa wale wa ngumi kavu kavu.
Hebu ona hii orodha;
Jet Li
Garry Daniels
Sunil Shetty...
Marioo The Kid You Know Album Review: Mchanganyiko Wa Kolabo Za Bongofleva, Afrobeat Na Amapiano Za Wakali Wa Africa
Siku kumi na moja baada ya kuitambulisha artwork yake sambamba na tracklist...
Honestly, mechi ilkuwa wazi kwa brazili kushinda, na huenda kabla ya final whistle ya first half kupigwa Brazil huenda ingekuwa inaoongoza goli si chini ya tatu....
Nini kimetokea kwa matokeo...
Hii Mr Morale and the Big steppers
Imekuwa No morale with a big step down.
Tulikaa tukisubiria kazi kwa miaka mi5 lakini amekuja na album mid.
Haina replay value, ngoma ambazo kidogo ni atleast...
xmass song 2013
wale ambao hamkubaahatika mwaka jana kusikiliza nyimbo hizi za xmass basi ni wakati mwingine tena
wa kuweza uzidownload na kusikiliza katika kipindi hiki cha xmass
Twelve Days of Christmas with Lyrics Christmas Carol & Song Children Love to Sing
We Wish You a Merry Christmas with Lyrics Christmas Carol & Song Kids Love to Sing
Walking In A Winter...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.