Old school: Nyimbo za R&B na Hiphop za Kingereza zilizotamba

Sijui kwanini old schools nachukulia ni nyimbo za 90's kushuka chini
Inategemea unezaliwa na kukulia miaka ipi kwa tuliozaliwa miaka ya tisini old school zetu ni nyimbo za 2000 hadi 2010 hivi kwa sabu ndo zilihiti kipindi tuna soma primary na seko. Hizo za tisini kabisa kurudi nyuma ni za kaka zetu si tisini tulikuwa hatuna akili bado wadogo
 
Salt n Paper.... Let's talk about sex
Toni Braxton... Breath again....
Aliyah.... Back n forth
KC n JOjo....all my life
Naughty by nature.... Yeah you know me
Mariah Carey.... Always be my baby, Love takes time
Whitney Huston... My love is your love, I will always love you
TLC.....water falls
Shania Twain, Mary J Blige, japo kwa uchache nimewasahu wengine makundi kama boyzone, new edition, boy II men n.k...Old is gold
 
Boyz to men kuna masong kama end of the road, on bended knee, four season of loneliness (if it right) nk
salt n paper kuna ngoma what a man naihusudu sana, kuna changing faces, boyzone, blackstreet, backstreet boyz, uncle sum, quen latifa, Da Brat, wako wengi aisee
 
Red wine ya boys 2 men na come darling nazipenda
 
Back
Top Bottom