Movie bora za muda wote kutoka Korea

Oct 16, 2020
92
195
Tumezoea kuona drama au series za Korea.Ila ni mara chache kusikia watu wakiongelea movie za Korea,au wengine hua wanaziona ila wanadhani zinatoka China.

Movie za Korea zipo na zinafanya vizur hata kimataifa,kama mnakumbuka mwaka 2019 movie ya PARASITE ilipochukua tuzo tatu katika tuzo kubwa za filamu duniani OSCAR.

Hizi ndizo movie zilizo bora kuwahi kutengenezw Korea.Hii ni kutokana na mauzo kutoka Box Office na Mauzo ya domestic ticket ndani ya Korea.

Hizi movie unaweza ona mauzo yake ni madogo kulinganisha na Hollywood au Bollywood lakin kwa nchi ya Korea ni mauzo makubwa kutona kua zinatengenezwa kwa budget ndogo mno.

Korea movie industry inaweza ikaongoza kwa kutengeneza movie za gharama nafuu mno.

Na hii ndio ile orodha ya movie bora

10.TAX DRIVER
Budjet:13M USD = 26B Tsh
Year : 2017
Box office: 88USD = 176B Tsh

9.ASSASINATION
Budget:16M USD = 32B Tsh
Year:2015
Box office: 90M USD = 180B Tsh

8.ALONGSIDE WITH GODS 2
Budjet:18M USD = 36B Tsh
Year:2018
Box office 92M USD = 184B Tsh

7.VETERAN
Budjet:5M USD = 10B Tsh
Year:2015
Box office: 94M USD = 188B Tsh

6.TRAIN TO BUSAN
Budjet:9M USD = 18B Tsh
Year:2016
Box office: 98M USD = 188B Tsh

5.ALONGSIDE WITH GOD 1
Budjet: 19M USD = 38B Tsh
Year:2017
Box offixe 108M USD = 216B Tsh

4.EXTREME JOB
Budjet:7M USD = 14B Tsh
Year:2019
Box office: 120M USD = 240B Tsh

3.ODE TO MY FATHER
Budjet:30M USD = 60B Tsh
Year:2014
Boxoffice: 125M USD = 250B Tsh

2.THE ADMIRAL ROARING
Budjet:19M USD = 38B Tsh
Year:2014
Boxoffice: 138M USD = 276B Tsh

1.PARASITE
Budjet:15M USD = 30MB Tsh
Year:2019
Boxoffice:266M USD = 532B Tsh

Used Ratio

1USD = 2000Tsh
 
Nora ukizimgatia nini hasa? Bajeti?
Mbna nmeandika hapo vitu vilivyo zingatiwa

1.Mauzo ya Domestic tickets ndani ya nchi ya Korea yanayotolewa na mamlaka ya uuzaji wa cinema ticket Korea KOFCA

2.Mauzo ya movie kwa ujumla dunian kote katika Box office

3.Tuzo mbalimbali ambazo movie hizo zimeshinda au kua nominated,Na critics kutoka kwa wachambuzi wakubwa wa filamu na Metacritics,IMBD na Rotten Tomato
 
Missing in action

Huyu mwamba namwelewa sn
images.jpg
 
Sawa Jumong ,nikajua series ni zile zenye vipande vingi ,na single ni kimoja kinaanza na kuisha .Na pia nipe tofauti ya series na single movie tafadhar
dah ndio umenipa na jin la jumong kabisa

Ok iko hivi sereis ndio izo zenye vipande unazosema kwa kiswahili ni Tamthiliya.Na movie ndio hizo single.Single maana yake ni moja,Huku Mtaani movie tumezipa jina la Single.Izo hapo juu ni single unaweza zi download au kuona bure kupitia
Kissasian.ch
 
Tumezoea kuona drama au series za Korea.Ila ni mara chache kusikia watu wakiongelea movie za Korea,au wengine hua wanaziona ila wanadhani zinatoka China.

Movie za Korea zipo na zinafanya vizur hata kimataifa,kama mnakumbuka mwaka 2019 movie ya PARASITE ilipochukua tuzo tatu katika tuzo kubwa za filamu duniani OSCAR.

Hizi ndizo movie zilizo bora kuwahi kutengenezw Korea.Hii ni kutokana na mauzo kutoka Box Office na Mauzo ya domestic ticket ndani ya Korea.

Hizi movie unaweza ona mauzo yake ni madogo kulinganisha na Hollywood au Bollywood lakin kwa nchi ya Korea ni mauzo makubwa kutona kua zinatengenezwa kwa budget ndogo mno.

Korea movie industry inaweza ikaongoza kwa kutengeneza movie za gharama nafuu mno.

Na hii ndio ile orodha ya movie bora

10.TAX DRIVER
Budjet:13M USD = 26B Tsh
Year : 2017
Box office: 88USD = 176B Tsh

9.ASSASINATION
Budget:16M USD = 32B Tsh
Year:2015
Box office: 90M USD = 180B Tsh

8.ALONGSIDE WITH GODS 2
Budjet:18M USD = 36B Tsh
Year:2018
Box office 92M USD = 184B Tsh

7.VETERAN
Budjet:5M USD = 10B Tsh
Year:2015
Box office: 94M USD = 188B Tsh

6.TRAIN TO BUSAN
Budjet:9M USD = 18B Tsh
Year:2016
Box office: 98M USD = 188B Tsh

5.ALONGSIDE WITH GOD 1
Budjet: 19M USD = 38B Tsh
Year:2017
Box offixe 108M USD = 216B Tsh

4.EXTREME JOB
Budjet:7M USD = 14B Tsh
Year:2019
Box office: 120M USD = 240B Tsh

3.ODE TO MY FATHER
Budjet:30M USD = 60B Tsh
Year:2014
Boxoffice: 125M USD = 250B Tsh

2.THE ADMIRAL ROARING
Budjet:19M USD = 38B Tsh
Year:2014
Boxoffice: 138M USD = 276B Tsh

1.PARASITE
Budjet:15M USD = 30MB Tsh
Year:2019
Boxoffice:266M USD = 532B Tsh

Used Ratio

1USD = 2000Tsh
Parasite inahusu nini mzee?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom