Man Middo tz
Senior Member
- Sep 9, 2020
- 182
- 280
Washaimba wasanii nyimbo nyingi kuelezea nafasi ya mwanamke katika jamii, Washaandika waandishi wengi wa hadithi na vitabu kuhusu nafasi ya mwanamke katika jamii.
Serikali na asasi za kiraia zimeongea na kuitetea nafasi ya mwanamke katika jamii.
Lakini bado mpaka leo mwanamke anaonekana kama kitu sio mtu. Ukiangalia show nyingi za wasanii sio wakiume tu hata hao wakike wenyewe hawajiweki kwenye nafasi ya kuheshimika kama watu wanavyoimba mapambio ya kuwasifia kila siku.
Hiyo picha hapo[emoji1427] ni Jux wakati akizindua Album yake "King of heart"
Kwa watu wa burudani ni kitu cha kawaida na Cha kufurahia, lakini upande mwingine ukifikiria nafasi ya mwanamke ilivyotumika hapo ni zaidi ya chombo Cha starehe.
Jux kavaa vizuri tu, why huyo mwanamke? Why mkao huo? Kwamba Jux hayo ndio Mahaba? Kwamba huko ndio kupetipeti? Kwamba alichoimba hapo bila kumuweka mwanamke mkao huo, ujumbe hauwezi kufika?
#NOTE: Wanawake zitambueni thamani zenu. Nyie ni wathamani mnoo, Tafadhali MJIJALI, MJIPENDE, MJITHAMINI kabla wanaume hawajafanya hivyo.
By @middotz_