Kwa wasomi: Msaada kwa watu mnaojua Kiingereza please

Haya ni matatizo ya kubadili kiswahili kuwa kiingereza.

Kwani umeishia kidato cha ngapi? Kwanini usi google!
 
Hii imeshapostiwa mara nyingia humu jamii forum, tafuta post za nyuma
 
  • Thanks
Reactions: Mu7
Leo kuna sentensi inanichanganya na nashindwa kuitafsiri kwa Kiingereza. Naombeni mnisaidie
Sentensi yenyewe ni hii hapa
WEWE NI MTOTO WA NGAPI KUZALIWA?
Naombeni msaada kwa wanaojua Kiingereza tafadhali
Tumia Google translate
 
Leo kuna sentensi inanichanganya na nashindwa kuitafsiri kwa Kiingereza. Naombeni mnisaidie
Sentensi yenyewe ni hii hapa
WEWE NI MTOTO WA NGAPI KUZALIWA?
Naombeni msaada kwa wanaojua Kiingereza tafadhali
"Where do you fall in your family's birth order?" in slang style unaweza kusema .... Where you fall in your fam's birth order?
 
Back
Top Bottom