Wapenda series got (House of Dragons)

marcoveratti

JF-Expert Member
Sep 21, 2017
968
1,695
Ni series ya muendelezo wa ile iliyo tangulia ya game of thrones kutoka HBO..

Series ime base na House Tygaryan ambao ni dragons rider na rulers wa Seven Kingdoms za westoras ambao ki asiri wao walitokea the bara tofauti na westoras sehem the inaitwa Verylian.

Miaka zaidi ya 170 kabla ya Dynerys Tygaryan(mother dragon kwenye game of thrones) kuzaliwa

Kwa sisi wanazi wa series hizi tupeane one two three kuhusu series hii.

IMG-20220908-WA0075.jpg
 
Ni series ya muendelezo wa ile iliyo tangulia ya game of thrones kutoka HBO..

Series ime base na House Tygaryan ambao ni dragons rider na rulers wa Seven Kingdoms za westoras ambao ki asiri wao walitokea the bara tofauti na westoras sehem the inaitwa Verylian...
Kiukweli mie nilikua siipendi GOT kabisa nakumbuka Mara ya kwanza kuiona 2014 ckuikubali, lakin marafiki zangu ndio walionishawishi kuwa Ni nzuri hivyo nilipokuja kuingalia Tena kwa kutulia nipende kusema Game of thrones Ni moja ya series nazozipenda ijapokua waliimaliza vibaya.

Hii the house of Dragon tygaryan naona watu wanaisifia ni nzuri lakin season one haijakamilika ndo kwanza wapo episode 3 mie kuangalia nusunusu cwezagi nitaisubiria ikamilike season 1 nzima ndio niangalie.
 
Hii Season 1 ni kali balaa...
Nimeielewa sanaa
Hasa msaidizi wa Malkia anapo pata malipo ya kumchungulia Malkia baada ya Malkia kumtuma jamaa kazi zake za hatari kwa usiri mkubwa.
 
Hii Season 1 ni kali balaa...
Nimeielewa sanaa
Hasa msaidizi wa Malkia anapo pata malipo ya kumchungulia Malkia baada ya Malkia kumtuma jamaa kazi zake za hatari kwa usiri mkubwa.
ni nzuri sana, Utofauti hii imeanza taratibu sana tofauti na GOT ilipoanza tu season one ilikuwa amsha.
 
Hii na hisi ni kali sanaa na kuna ukatili wa kutisha sana
GOT ni nzuri lakini hii naona itaenda kufuta mapungufu.
I think hii iko hivyo cause ni watu wazamani sana, so their rules na mambo mengi yalikaa kizamani sana. Walio miliki dragons ndo waliweza kuwa wenye nguvu.

They considered dragons as mass destruction weapons kwa miaka ya leo kama ukimiliki nuclear. Kilicho wa cost tamaa ya madaraka na kuuwana wao kwa wao.

Na watu kuamini dragons wote walikufa na Targaryens bloodline kuisha, ndomana kwenye GOT wengi hawakuamini kama bado dragons wapo mpaka walipo waona Drogon, Viserion na Rheagal.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom