Je, umaarufu wa EFM Radio ndo unapungua?

Je, umaarufu wa EFM Radio ndo unapungua?

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,709
Reaction score
1,735
Namsikia Maulid Kitenge akiejea Wasafi FM akiwa na Gerald Hando.

Nadhani mtakumbuka kilichompata Hando pale hivi karibuni. Maulid kaanza na upembuzi wa magazeti lakini leo kaingia kwenye upembuzi wa michezo, napata picha kuwa yawezekana pana mpembuzi toka E FM atamfuata.
 
EFM brought competition to CloudsFm, Kusaga akaamua venture to Wasafi Fm, matokeo yake Clouds sasa competitor ni Wasafi Fm.

Efm bado ana nafasi kubwa ya kurudi kwenye position yake, ila kwa namna inavyoonekana wazi kabisa ubunifu wa Majizo umefika level unahitaji boost..... Majizo hakutakiwa kabisa kuanza fanya maigizo na Masanja. Hayo mambo yalitakiwa fanywa na kina Mpoki.

Majizo anatakiwa kwa sasa tafuta proper consultant wa kumrudisha alipokuwepo.

Uzuri ni kwamba entertainmemt industry imekuwa pana sana. Yani sio kila kitu ni kupambana kuiga what Clouds does. Majizo alianza vizuri kwa kunyanyuka na singeli, ikawa hiyo ni signature yake, kitaa wakaikubali radio, ndio biz industry ikampokea yeye mama among main players. Sasa arudi chini kwenye drawing board, aanze na upyaaaaa.
 
Back
Top Bottom