Ngoma ya 'Calm Down' ya Rema yazidi kuongoza Chati za Billboard U.S. Afrobeats Songs

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,118
1678608357223.png

Msanii huyo kutoka #Nigeria, ameendelea kuweka rekodi Kimataifa kupitia ngoma hiyo aliyomshirikisha #SelenaGomez akikaa kileleni kwa wiki 27 katika wiki 50. Kati ya ngoma 50, hakuna msanii yeyote kutoka Tanzania au #AfrikaMashariki.

Aidha, ngoma hiyo imepanda hadi nafasi ya 15 kutoka 19 kwenye chati za #BillboardHot100 ambazo ndio chati kubwa za muziki duniani huku akiwaacha nje ya chati hizo wakati wengine kama Burna Boy, Wizkid na Tems

Unadhani nini kinakwamisha Wasanii wa #Tanzania kufanya vizuri kwenye Chati Muziki za Kimataifa?

=================

Screenshot 2023-03-12 111201.jpg

In the latest installment of the Billboard Hot 100, Nigerian superstar Rema reaches a new peak as he continues his impressive ascension on the chart.

Chart Week March 11, 2023: This week, Rema's 'Calm Down' reaches a new peak of NO. 15 as it moves 4 places up from its NO. 19 spot last week. The single enters its 29th week as it continues its impressive showing on the chart.

Since its release, 'Calm Down' has enjoyed impressive success in the United States where it has surpassed a million units in sales which earned it an RIAA Platinum plaque. The single has also surpassed a billion streams across all platforms while becoming the most-watched Nigerian music video on YouTube.

Tems continue to remain on the chart courtesy of Future's 'Wait For U' which appears at NO. 38 this week while entering its 41st week.

US Billboard Afrobeats Song: Rema's 'Calm Down' continues to dominate the US Billboard Afrobeats chart as it extends its record as the longest NO. 1 to 27 weeks.
 
WA BONGO WANA WIVU, HUSUDA NA ROHO YA KWANINI SIO WANAMUZIKI SIO MASHABIKI WOTE ROHO YA KWANINI
 
Wabongo ni lugha,

Sasa nani anaelewa Kwikwi au Yatapita au Mahaba,

Angalau hata Harmonize anajitahidi kuimba nyimbo za kiinglish
 
Wabongo ni lugha,

Sasa nani anaelewa Kwikwi au Yatapita au Mahaba,

Angalau hata Harmonize anajitahidi kuimba nyimbo za kiinglish
Me naona shida sio lugha shida ni jinsi ya ku-deliver kuna nyimbo kama despacito watu waliipenda sana na lugha ni changamoto asake anatumia san ki yoruba lakini mziki wake una sambaa wabongo kwy ku-deliver bado sana rema dumebi ilikuwa hit lakini alikuw ana vibe tu na beat ko shda sio lugha ni jinsi ya kuvibe tu na production nzuri

Sorry uandishi mbovu😂
 
Back
Top Bottom