Hawa ndio best Dancers wanaofanya vizuri mpaka sasa

Scars

JF-Expert Member
Apr 8, 2017
44,376
105,208
1. Marquese Scott
1683655505219.png


Huyu ni mmarekani alizaliwa mwaka 1981 November anayecheza dance aina ya Dubstep, popping pamoja na style ya slow motion.

Ameisha perform katika stages kubwa kama Ellen shows, na World Of Dance.

Ana kundi lake linaitwa "dragon house" lenye wanachama maarufu kama Iglide Bluprint, Raino ambao wanafanya vizuri kwenye social media.

Moja ya performance zake zilizompa umaarufu ni nyimbo ya Adele Set fire

Pamoja na pumped kicks ya Foster the people.


2. Les Twins
1683655879894.png

Hawa ni mapacha wawili ambao ni identical, ni wafaransa kwa uraia mmoja ni Larry na mwingine ni Laurent. Wamezaliwa Disemba 1988

Ni Hip Hop dancers ambao wamekuwa kwenye tasnia kwa kipindi kirefu tangia 2005 walikuwa wana perform street dance.

Baada ya tamasha lao la San Diego mwaka 2010 kwenda viral kutokana na uwezo walioonesha, Beyonce alikuwa mmoja wa wasanii waliovutiwa na wachezaji hao.

Beyonce aliwatafuta na kuwaweka stage akiwa ana perfom Run the world kwenye tuzo za Billboard.

Tangu hapo wamefanya matamasha mengi na Beyonce ambayo kwa nyakati zote wamekuwa bora jukwaani licha ya muda mfupi wa kimaandalizi ambao waliokuwa nao kwa ajili ya kujipanga na tamasha.

Hawa ndio wame inspire generation ya kina Ayo&teo

Wamecheza kwenye matamasha makubwa kama World Of Dance, Indian Got Talent



Lakini pia wamecheza kwenye nyimbo nyingi za wasanii maarufu ambazo zilivuma, mfano Chris Brown na Tyga kwenye nyimbo yao ya Ayo Les Twins walicheza.

Wameonekana pia kwenye nyimbo za Beyonce kama Jealous, Blow, na Flawless remix ambayo kamshirikisha Nicki Minaj

Kwa misimu tofauti tofauti wamekomba tuzo nne za World Of Dance.
 
3. Popping John Sbk
1683657525313.png

Amezaliwa August 1984 kule Mexico maeneo ya Farmington. Ni mbobezi wa kucheza aina ya Dubstep, Popping Robotic style na illusion dance style.

Ana miliki lebel ya dance inayoitwa learn2burst ambapo yeye ndio mkufunzi mkuu wa lebel hiyo.

Huyu amekuwa partner na Marquese Scott ambaye nimemuelezea namba 1
1683657560467.png


Wamefanya collabo nyingi ambazo zimekuwa na matokeo mazuri.

Mfano wa kazi zao walizofanya zikaenda viral ni "Time Control" waliyoifanya Urban Dance


"Let it Go",


"Firebird",


"Being with you"


"City 2 city"


na Collabo walizofanya kwenye matamasha makubwa kama World Of Dance.


 
4. Fik Shun stegall
1683703808427.png

Alizaliwa Septemba ya mwaka 1994 huko Las Vegas

Ni moja kati ya ma dancer wenye talent ya kipekee sana. Alianza kucheza akiwa na umri wa miaka 5 ambapo alikuwa inspired na baba yake mzazi.

Mbali na kucheza mziki pia ana uwezo wa kucheza michezo ya ngumi kama karate na martial arts.

Huyu ni mshindi wa season 10 ya tamasha la "so you think you can dance"
 
Back
Top Bottom