Collabo wimbo wa dhahabu

central midfielder

Senior Member
Apr 14, 2023
132
189
Ebu tuongee hapa wakuu!
.
Hivi kwenye Hii Collabo ya Dhahabu nani alimfunika mwenzake!
.
Dully ft Joslin,Mr Blue.
.
Nani alifunika kati ya Joslin na Blue??
 
Dully alikuwa wamoto sana kwenye enzi zake ingawa joslin alijitahidi.

Dully alifanya vizuri kwenye dhahabu.
 
Dully, tena hii nyimbo duly aliwashirikisha wote wawili bila wao kujua. Kipind hiko kulikua km na kibifu flan hv kat ya blu na josline.
 
Ebu tuongee hapa wakuu!
.
Hivi kwenye Hii Collabo ya Dhahabu nani alimfunika mwenzake!
.
Dully ft Joslin,Mr Blue.
.
Nani alifunika kati ya Joslin na Blue??
Wakuu mimi nataka jina la hii mp3 hata kama unayo full free beat nisaidie
 
Uliposema dhahabu nikawaza jinsi migodi yetu,mbuga na bandari vinavyouzwa na CCM
 
Nakupenda maaa basi njoo maa

Nikila saa Niko ma kichaa

Tuishi kama edeni

Nakuweka kwenye top ten

Natadata na reception

Mi Niko pande hoi pande zote huniboi......

Dully alichana
 
Blue Byser aliumiza mbaya kwenye hiyo ngoma japo Joslin na Dully nao walifanya poa sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom