Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

SURA YA KWANZA 28/3/1989 Ulikuwa ni msafara wa watu watano, wawili kati yao, pamoja na mimi mwenyewe, tukiwa ni waandishi wa habari waajiriwa wa kampuni ya Film Tanzania ambayo ilikuwa ni...
1 Reactions
25 Replies
14K Views
Wakuu habarini za muda huu kama wewe ni mfuatiliaji wa Korean dramas naamini kutakuwa na maneno mawili matatu ya kikorea utakuwa umedokoa Nimeainisha hapa maneno 15 ambayo yanatumika sana kwenye...
14 Reactions
43 Replies
7K Views
Nipo nasikiliza nyimbo ya dini tumeletewa ya huyu msanii, hii nyimbo unaweza kufundishia mavyuoni kabisa na wanafunzi wakakuelewa nini ambacho mwalimu umekusudia kulenga. Kuna ile inaitwa heshima...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
I am not a qualified physician And I dont want to give this injection I am not a qualified physician And I dont want to give this injection Dorothy is begging for trouble She insist I should give...
2 Reactions
0 Replies
555 Views
Wakati naaangalia filamu ambayo ipo Katika mfumo wa series inaitwa From the Scratch Kuna baadhi ya vitu nilianza kuvipata ambavyo kwa namna moja au nyingine nikaona kati ya watu wanaweza kutumia...
3 Reactions
11 Replies
806 Views
Kiukweli inanishangaza sana huyu chama mechi kubwa anakuwa kama panya aliye toswa kwenye bakuli la maji kalowa,hajiwezi kabaki kutapa tapa,shida ni nini uzee au pensheni zimemzidia?
0 Reactions
6 Replies
582 Views
" Asante kwa kujiunga nami leo. Leo, nataka kushiriki nawe hadithi - hadithi ya azimio, uimara, na kutafuta furaha. Ni hadithi inayogusa kila mmoja wetu kwa sababu, ndani kabisa, sote tuna ndoto...
2 Reactions
2 Replies
878 Views
Mwanzo “Huyu tumuue kwani bosi amemleta huku lengo lake afe tu”. “Hapana nafikiri kumuua sio jambo jema, kiubinadamu pia huyu ni mwanaume mwenzetu” “Kibarua kitaota nyasi shauri yako,sasa...
8 Reactions
50 Replies
6K Views
Hello, Hapa patakua nyumbani kwa wale wote wenye hisia na wanaovutiwa na kazi nzuri za sanaa (aesthete) kuanzia kwenye picha za asili zenye mvuto (nature) hadi kwenye maandishi yaliyopangwa...
2 Reactions
3 Replies
497 Views
GAME INAMDAI INNOCENT SAHANI "Dirty Knob" "Bad Man" "MFALME wa MITAANI" "D Knob" Mwamba kutoka Kiwalani alifanya kazi nyingi sana na Mika Mwamba, akapita kwa Majani, kwa D Money, kwa Villy Nice...
6 Reactions
17 Replies
3K Views
Muziki si kitu cha kawaida kama wengi tunavyodhani,Muziki ni nguvu katika ulimwengu wa Roho,inaweza vuta nguvu ningine za kiroho kuja eneo la tukio Muziki ni dawa ya nafsi inaweza kutibu na...
7 Reactions
72 Replies
9K Views
Filamu ya Titanic iliyotoka mwaka 1997, ni filamu ambayo ilivunja tekodi ya mauzo kwa kipindi hichi ikiwa imeingiza pesa kiasi cha dola za Kimarekani bilion 1.8 huku ikiwa imetumia budget ya...
17 Reactions
44 Replies
17K Views
Idadi ya wanaugua Magonjwa hatari yasiyoambukiza ikiwemo Kiharusi, Shinikizo la Juu la Damu, Maradhi ya Moyo imetajwa kuongezeka kwa kasi nchini ambapo wengi wao ni wenye miaka kati ya 20 hadi...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Nilijua ni Biashara tu...kila mtu anapost...zimebaki sijuwi siku...Leo nimebahatika kuskiza nyimbo yake mpya... ni tamu sanaaa.... Leo Lady Jaydee ameachia wimbo wake mpya baada ya kimya cha muda...
9 Reactions
438 Replies
80K Views
Bado sijapata Title maalum ya hii Simulizi twende nayo hivyo hivyo. UTANGULIZI Kuna jamii ya watu iliyozuka na kuleta sintofahamu miongoni mwa jamii nyinginezo, watu wanaozisaka pesa kwa namna...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Hi my name is Tony Stark Mimi ni mpenzi sana wa movie ila ninazo pendelea zaidi ni sci-fi japo wengine husema hazina mbele Wala nyuma wengine usema za kitoto ila Zina mafundisho makubwa...
3 Reactions
43 Replies
7K Views
Nyota huyo kutoka Nigeria ameibuka mshindi na kuwabwaga mastaa wengine ambao Aya Nakamura, Ayra Starr, Central Cee, Ella Mai, K.O, L7nnon, Stormzy, Tiakola na DJ Uncle Waffles. Beyonce ameshinda...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndugu zangu nimetizama movie nyingi sana kali, ila hii Apocalypto 2006 ni bonge la movie.
20 Reactions
142 Replies
12K Views
Habari wana jamvi, Mie bongo fleva nimeanza kuifuatilia kitambo sana enzi za bdp na sosy b na mpaka sasa bado naisikiliza nimebahatika kuviona vipaji vingi kwenye hii tasnia waimbaji kwa maraper...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Hii nchi enda wapi aise? Hatuna wasomi? hatuna wasanii wanaoweza kuimba nyimbo kulingana na matukio yanayoendelea? Msaniii mzuri ni yule anaeweza kubadilika Kwa tunzi zinazoweza badilika...
1 Reactions
8 Replies
996 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…