MLUGURU
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 3,036
- 3,966
Nipo nasikiliza nyimbo ya dini tumeletewa ya huyu msanii, hii nyimbo unaweza kufundishia mavyuoni kabisa na wanafunzi wakakuelewa nini ambacho mwalimu umekusudia kulenga.
Kuna ile inaitwa heshima kaimba na chelea Man, jamaa anaimba vitu matured kabisa.
Kuna ile inaitwa heshima kaimba na chelea Man, jamaa anaimba vitu matured kabisa.