Mzee chama anakwama wapi mechi kubwa?

Mzee chama anakwama wapi mechi kubwa?

Khalifavinnie

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2017
Posts
2,849
Reaction score
2,442
Kiukweli inanishangaza sana huyu chama mechi kubwa anakuwa kama panya aliye toswa kwenye bakuli la maji kalowa,hajiwezi kabaki kutapa tapa,shida ni nini uzee au pensheni zimemzidia?
 
Back
Top Bottom