Maneno 15 yanayotumika sana kwenye Korea Drama

Krikichino

JF-Expert Member
Oct 5, 2019
651
1,098
Wakuu habarini za muda huu kama wewe ni mfuatiliaji wa Korean dramas naamini kutakuwa na maneno mawili matatu ya kikorea utakuwa umedokoa

Nimeainisha hapa maneno 15 ambayo yanatumika sana kwenye series za Kikorea yaani yanapatikana karibia kwenye kila series.

1 ANYEONGHASEYO -
Hello, Habari

2. MIANHAE -
I am sorry, pole

3. AIGOO -
Oooh Dear, Daaah

4. YEOBOSEYO -
Hello, Halo (Ya kwenye Simu)

5. SARANGHAE
I love You, Nakupenda

6. JUSEYO
Please, Tafadhali

7. GEUREOM
Yes, sawasawa

8.WAE
Why, Kwanini

9. ANDWAE
I can't, siwezi

10. HAJIMA
Stop it, Acha

11. EOTTEOKAE
What should i do, Nifanye nini

12. JINJA
Really?, Kweli

13. MWO
What, Nini?

14. UNNIE, OPPA
Sister, Brother, Dada Kaka

15. SEOSANGNIM
Teacher, Mwalimu

Kama utakuwa na la kwako tupia hapo tuone!
 
hananim=God
Jebal=please
gidoggyo=christian
ijimarayo=don't forget
uljima=don't cry
babo=stupid
................
 
Back
Top Bottom