Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Zote ni nyimbo bora kuhusiana na mji wa New York. Zote ni nyimbo zilizo dondoshwa na two of the best rappers duniani. Kwa upande wako ni ipi bora kuliko nyingine...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Rema na nyimbo ya calm down rmx imepata kusikilizwa idadi ya bilioni Moja kwenye Spotify. Licha ya wasanii wengine afrika ila kwa upande wa wanaijeria na wagana wanautendea haki mziki na Kila...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Leo ni September 11 siku ambayo Marekani wanaikumbuka kwa shambulizi la kihistoria la kigaidi lililofanywa na kikundi cha kigaidi Al Quaeda chini ya Osama bin laden mwaka 2001. Leo mimi...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Mnamo Juni 1999, taasisi ya Uholanzi ya Madunia ilirekodi hali Halisi, Makala ya video ya dakika 30 kuhusu rap nchini Tanzania (Afrika Mashariki). Hali Halisi "hali halisi" msemo unaonyesha rap...
2 Reactions
0 Replies
774 Views
Hali zenu wana jf! Mda mwingi mimi nkipumzika napenda kusikiliza radio hivyo mda huo nmebahatika kusikia sauti za watangazaji kadhaa ambao nliona ni wakali nao ni hawa Millard Ayo, B dozen...
2 Reactions
106 Replies
44K Views
Mwanariadha wa Kenya Abel Mutai alikuwa karibu na mstari wa kumaliza mbio, akachanganya alama za kumaliza mbio na kusimama akifikiri ameshaliza na ni mshindi, ingawa hakuwa amevuka mstari ili kuwa...
8 Reactions
10 Replies
871 Views
Sura ya Kwanza Mara tu baada ya kuvunja ungo, Yasmin aliozwa mume. Alikuwa mume wa jamii yake ya Ithnashiria ambaye alikuwa akiishi jirani naye hapo Mtendeni. Alikuwa ni mume asiyelingana naye...
6 Reactions
36 Replies
14K Views
Wakuu Leo nilikua najikumbusha kuangalia nyimbo za bongo fleva za zamani, hivi Ile nyimbo ya Abby skills ft Mr blue. Mimi wewe, yule demu alietumika mule kwenye video sio qeeen daaring kweli au...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu akizungumza katika Ufunguzi wa Tamasha la Pili la Kitaifa la Utamaduni, Viwanja vya Stendi ya zamani Mkoani Njombe, tarehe 25...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Salaam kwenu wana MUNGU, Kuna hii nyimbo ya gospel inaitwa maneno mazuri yakwake japhet wa zabron singers ft Ambwene Mwasongwe, hainichoshi jamani. Naisikiliza tena na tena, tena na tena...
6 Reactions
87 Replies
6K Views
π™’π™„π™ˆπ˜½π™Š : NAKOMITUNAKA: π™‰π™–π™¨π™π™–π™£π™œπ™–π™–/π™‰π™–π™Ÿπ™žπ™ͺπ™‘π™žπ™―π™– π™ˆπ™’π™„π™ˆπ˜½π˜Όπ™…π™„ : VERKYS & ORCHESTRE VEVE π™π˜Όπ™π™Žπ™„π™π™„ : SULE MKANDARASI "π™‰π™–π™ π™€π™’π™žπ™©π™ͺ𝙣𝙖𝙠𝙖" lilikuwa jibu la Verckys kwa wapinzani wa Mzee Mobutu ambao ni Kanisa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
14 years ago today, Lady Gaga released β€œLoveGame” as a single from β€˜The Fame.’ The track was praised for its now-iconic β€œI wanna take a ride on your disco stick” hook. It reached the top 10 in...
1 Reactions
2 Replies
768 Views
Hodi hodi wanajukwaa leo nimewatembelea ktk jukwaa lenu.Kwavile jukwaa ni la burudani l,na mm nimeamua kuleta burudan ya aina hii.Naomba mnipokee. Kisu Chenye Mpini Mwekundu -1 RIWAYA: KISU...
6 Reactions
102 Replies
56K Views
Jana usiku siku ya jumamosi tarehe 9 mwezi wa Septemba nikiwa na rimoti natafuta chanel ya kuniburudisha nikajikuta najaribu kuangalia WASAFI TV nikaona wasanii wa bongo flava wakiwa Ruangwa...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Barnaba ft Joel lwaga (sayuni )vs Moses bliss (Daddy wey dey pamper) Nini kimewakumba wasanii wa bongo mpaka kuanza ku copy idea za watu wengine...?
1 Reactions
8 Replies
872 Views
ILIPOSIKIKA sauti yake kila mpenzi wa muziki anayefuatilia bendi za hapa nyumbani alihisi kuna kitu kipya kimeingia katika tasnia ya muziki wa dansi. Hiyo ilikuwa mwaka 1982 alipoingia kwa mara ya...
11 Reactions
38 Replies
16K Views
Huyu jamaa katika Tanzania hii ukimtoa Hasheem Dogo, sijui kama kuna msanii anaeweza kumfikia kwa tungo zake! Hakika mchops aka moe technics anastahili sifa na tunzo maalum kutokana na kazi zake...
6 Reactions
57 Replies
18K Views
VIPEPEO WEUSI SEASON 2 - FROM ZURICH WITH RULES EPISODE 01 BARABARA INAYOELEKEA KWENYE MAKAZI YA WAZIRI MKUU – MLIMWA, DODOMA β€œIli kuweka kumbukumbu kwa usahihi zaidi naomba urudie tena...
40 Reactions
505 Replies
111K Views
Naona live wasafi tv show ya wasafi festival inafanyika ila nashangaa wasanii wakubwa wote wameshapanda stejini..! Au sababu ya tanesco kumfanya figisu ya kukata umeme usiku wakati show ikifanyika...
5 Reactions
5 Replies
767 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…