Kwa wale wapenzi wa movie wanaopakua kwa kutumia netnaija tunajionea changamoto ya baadhi ya movie kutokuwepo, kuna website inaitwa fzmovies.net hii ina movies nzuri zenye quality nzuri na mb chache
Hapa kashirikishwa na G-Nako, wimbo unaitwa Komando, ila melody za Diamond zinafanana 90% na wimbo wa Amapiano aloimba Asake.
Sikiliza kisha ufanye conclusion mwenyewe kama Diamond anasingiziwa...
Wadau kwema..wenzang wa miaka ya 2000 mtakua mnakumbuka zaman miaka hyo I'li ipate channel kwa Tv ilikua lazimaa upandishe antenna juu..kiwango cha upandishaj kinategemea uko wap..nakumbuka kwetu...
Guys heri ya Christmas na mwaka mpya,
Wale wapenda hip-hop kama Mimi especially underground hip hop kuna mixtape inaitwa kua uone ilikutanisha rappers underground wale wa Arusha wakina Raff...
Wapambanaji niaje? Kumekuwa na wimbi kubwa la watu wanaocheza hii michezo ya kindege kinachopaaa halafu unakuwa unashinda pesa pale ukiwahi kutoa pesa kabla hakijalipuka.
Nilianza kuijua ZEPPELIN...
Kwa upande wangu kwa mwaka 2023 hizi ndio nimeona ndio ngoma kali kutoka kwa hawa wasanii wakubwa nchini.
Single again ya konde boy ilitoka mwanzoni mwa mwaka huu, na niseme hii ndio ngoma kali...
Poker game!
I do not love you except because I love you;
I go from loving to not loving you,
From waiting to not waiting for you
My heart moves from cold to fire.
I love you only because it's...
Mwenye wimbo wa mwanamke hulka full ulioimbwa na Mwanahawa Ally anitumie.
Binafsi nimeutafuta bila mafanikio, ambao ninao unaishia dakika 13:53.
Ambao anao uliokamilika autume.
Sebene lake...
Habarini za Muda Huu
Nimeona Tangazo la Kutafuta Hawa Bongo Star Search Nikabaki Nashangaa wanatafuta Comedian au Nini?
Yaani Watu wanaoonyeshwa Kwenye Tangazo ni Wachekeshaji na Watu wanashindwa...
Kupitia hapa leo naomba tuangazie bifu 30 Kali zaidi kuwahi kuwakumba wasanii mbalimbali wa muziki wa kizazi kipya nchini, kiasi cha kugonganisha vichwa vya wadau wa muziki na pengine kwa kiasi...
WIMBO unaitwa Juicy. Mali ya Notorious BIG. Ni release ya kwanza, albamu ya kwanza, Ready to Die.
Intro; Biggie anasema:
"Albamu hii ni salamu kwa walimu wote waliosema sitofanikiwa.
Ni kwa wote...
Unaanzia since primary hadi chuoni mpaka nimepata ajira ya TAMISEMI nikiwa Kama Tabibu Daraja la II. Kwa ufupi nimemaliza chuo mwaka jana 2022 December, ila mwaka huu nimepata ajira.
Vijana kuna...
Nisikuchoshe na usinichoshe,tusichoshane!
Aiseee leo nimekumbuka vituko vya miaka ya nyuma wakati nasoma shule ya msingi pale Rebu!.
Ni miaka mingi nimepotezana na rafiki yangu kipenzi wa miaka...
Diamond Platnumz amefanikiwa kushinda tuzo ya the Best African Act Award katika sherehe ya utoaji tuzo hizo ya (the 2023 MTV EMAs).
Amekuwa msanii wa kwanza wa Afrika na Africa mashariki kushinda...
English series
1. Game of thrones
2. Prison break
3. Breaking bad
4. Blindspot
Korean Drama
1. Jumong
2. A man called god
Spanish series
1. Money heist
Indian movies
1. Movie yoyote ambayo...
Kinywaji cha Pepsi kinadaiwa kutamba sokoni na kutishia market share ya mtani wake wa jadi Coca.
Derby hii inadhaniwa unywaji wa Pepsi kwa kasi ya mwanga umekolezwa na Mondi kui-brand...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.