Movie inaanza Sunil Shet anaishi na mama yake hawana pesa ikabidi Sunil Shet amuage mama yake, kisha akaenda kumuaga girlfriend wake ambaye kwao ni matajiri.
Baada ya miaka kadhaa wazazi wa demu...
Wakati ambapo nyimbo ni sehemu muhimu kwa wapenzi wengi kunogesha mapenzi na hata kuwa kumbukumbu ya happy moment wakati wa nyuma katika mapenzi.
Upo ukweli mwingine usioepukika katika visa vya...
Habari wanajamvi
Leo nimekaa tu nikaanza kutafakari mengi likanijia wazo nije umu tushare wanajamvi
Ni wimbo gani ambao ww hupenda kusikiliza ukiwa katika mapito yako
Mm ziko nyingi mno ila...
TAMAA YA UTAJIRI ILIVYONIPONZA
Akiwa ni kijana bado Nico anaamua kuanza maisha mapya na mpenzi wake aliyempenda sana. Mpenzi wake anaitwa Anna. Nico ni kijana anayeishi kijijini mpambanaji...
Katika usiku wa SWAHILI NIGHT iliyoandaliwa na lebo namba moja ya muziki nchini Tanzania; tarehe 17 november, wamemkaribisha msanii ambaye atakuwa chini ya Lebo hiyo ajulikanaye kwa jina maatufu...
MKE WA PILI [emoji120][emoji3590]
MTUNZI: PATRICIA ANTONY
SEHEMU YA: 01
WHATSAPP: 0676604830
KAWAIDA: 0783642467
ANZA NAYO.........
Siku ya ijuma ya tarehe 22/08...... ilikuwa siku ngumu...
Mtunzi: Amani Dimile
Sina jipya la kusema, yote nimeshamaliza
Maisha yaenda vyema, Mungu ametujaliza
Pendo lafanya nahema, nafurahi napendeza
Mimi pombe ye mgema, wallah! ameniweza
Ametiririsha...
• Quincy Jones
• Lionel Richie
• Stevie Wonder
• Paul Simon
• Kenny Rogers
• James Ingram
• Tina Turner
• Billy Joel
• Michael Jackson
• Diana Ross
• Dionne Warwick
• Willie Nelson
•...
Wadau wa JF entertainment,
Naombeni mwenye soft copy ya movie ya Endless love iliyochezwa na Brooke Shields na Martin Hewitt. Kwenye hiyo movie Brooke alitumia jina la Jade, na Martin alitumia...
Vigezo vilivyotumika:
1. Nyimbo zinazoendana na neno la Mungu
2. Kuwepo kwenye imani thabiti ndani ya Kristo
3. Kuwa na malezi ya kiroho na kanisa analohudhuria kama mshirika
4. Muendelezo wa...
Habari wakuu
Kwa wale tunaopenda kutumia Netflix tupeane uzoefu katika kuangalia Series na Movies katika App Hii.
Binafsi nimeangalia Series nyingi toka Sekondari kuanzia Prison Break.
Lakini...
Kuna utata bado kwenye ujio wa T.I
Kwa sasa jamaa wanahaha kutafuta wasanii kwa kuokotezaokoteza ambao hawakuwa kwenye list incase hali itakuwa mbaya mpaka dakika za mwisho.
Lakini kitanuka...
Unazikumbuka hizi Learn Back, Make It Rain- Fat Joe, vipi kuhusu the iconic song kutoka westcost Still ya Dr Dre, Just A Lil Bit 50 Cent, Poppin Them Thangs - G unit, Gimme That-Run It za Chris...
Kumbe Magwiji wote waliokuwa Wakiunda Kundi la ( Bendi ya ) Wenge Musica BCBG 4 X 4 wakiongozwa na JB Mpiana, Mpiga Solo Alain Makaba, Mpiga Bass Didier Masela, Ngiama Makanda Werrason, Adolphe...
WASAFI FESTIVAL kwa content package mnayodeliver kuna muda mpaka nahisi Teni halitoshi.. package ni kubwa kwakweli.. sema kwa upande wetu mimi na mwanagu tuna enjoy kinoma kwa sababu uwezo wetu ni...
Wakuu heshima kwenu!
Napenda kushea nanyi simulizi ya maisha yangu . Hii sio hadithi ya kutunga, nimelazimika kutumia majina ya kutunga ili kuleta maana. Pia nimetumia codes nyingi sana hapa ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.