Kwanini Wasafi festival inafanyika mchana?

Kwanini Wasafi festival inafanyika mchana?

mahenda255

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2018
Posts
515
Reaction score
702
Naona live wasafi tv show ya wasafi festival inafanyika ila nashangaa wasanii wakubwa wote wameshapanda stejini..! Au sababu ya tanesco kumfanya figisu ya kukata umeme usiku wakati show ikifanyika Mtwara?

Mr Blue wa kupanda stejini sahivi kweli [emoji15]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom