HAbari ndugu zangu natanguliza pole na majukumu mbalimbali mungu awatie nguvu.
Mimi ni daktari(medical doctor) nilietokea uswazi changanyikeni so nayajua matatizo mbalimbali yanayotusibu mtaani...
Jamani wadau wa jukwaa hili naomba mwenye link ya kudownload wimbo wa hard mad ft fatma- tamala anisaidie.
Ni wa kitambo kidogo link nazopata naona hazifanyi kazi hivyo mwenye link anisaidie maana...
Wakuu nimekuwa nikifatilia hiki kipindi kinaitwa HAWAVUMI LAKINI WAMO kinarushwa na luninga moja maarufu kwa lengo la kujipima ili namimi siku moja niwe mtajika ktk eneo hili.
Kwa wale wenye...
Husika na kichwa cha uzi hapo juu.
Natafuta wadau wa kushirikiana nao kuendesha shindano la WATU wenye sura mbaya Tanzania mkoa wa Dar es salaam. Fomu zinapatikana BUREE. Mshindi atapatiwa...
Wakuu nimetafuta humu kwenye entertainment sijabahatika kuona threads za games humu.
Hapa nazungumzia michezo ya kwenye simu ,computers, hata board games migumu zaidi (mind games) iliyopo duniani...
Kuna nyimbo kadhaa nikisikiliza naweza nisijue ametamka nini huyo msanii mpaka inaweza chukua hata miezi au zaidi ndo nakuja kuelewa kilichotamkwa,
Kwa mfano kuna nyimbo nilikuwa nasikiliza...
Hii ni nyingine tena,
Ni Bongo Records tena,
P Funk
KIITIKIO
Ni gheto langu tu,
Linalowachengua maduu,
Linaloniweka kwenye chati za juu,
Kijitonyama mpaka East Zoo,
Ni gheto langu tu...
Pictuspublishers tumefasiri kitabu How to win friends and influence people. Kila wiki siku ya ijumaa tutasoma sehemu moja. Unaweza kusoma sehemu iliyofasiriwa ndani ya maktabaapp. kuungwa tucheki...
Baada ya simba kutoa sare leo uwanja wa nyumbani, zile nyuzi za kuikebehi na kuiponda yanga zimepungua kama hazijamalizika kabisa.
Matokeo ya mpira wa miguu huja tofauti na matarajio ya wengi...
Wapenzi wa simulizi, hii ni Simulizi iliyotoka mwaka 1886 huko Urusi iliyotungwa na Nguli wa Fasihi, Leo Tolstoy. Mwanafasihi huyu ameandika Riwaya na Hadithi fupi fupi nyingi sana. Riwaya zake...
[Verse 1]
In the sunshine, we're feelin' irie (irie, irie)
With the rhythm, we're catchin' the vibe (vibe, vibe)
Breezy melodies, takin' us higher (higher, higher)
In this reggae groove, we gonna...
Katika maisha kila mtu anakuwa na matukio ambayo siyo rahisi kuyasahau hata akumbwe na changamoto ya namna gani.
Leo na mimi nimeamua ku share na nyinyi Wana JF tukio hili ambalo sio la kutisha...
Juzi nilikuwa napitapita Insta kweny page za entertainment za Nigeria, aisee jamaa wanasema sana, wanamsimanga hadi nilijisikia vibaya.
Mimi sio kwamba mshabiki sana wa diamond, ila nikiona...
Nitaweka hapa hadithi zote, kutoka vitabu vyote(vinne ) vya Alfu lela ulela. Fuatana nami kwenye safari hii ndefu. Pia vyote unaweza kuvisoma bure ndani ya maktaba app.
Tuanze na kitabu cha nne...
DR. MARCO MKALI, MARCO CHIZI KIDOGO
Alipita Metro studio, Serious Records, Kama kawa Records mpaka alipotuliza majeshi MJ RECORDS na kufanya kazi na mkubwa Master Jay huku pia akiwavuta wadogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.