Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Mgahawa wa Kwanza kabisa Duniani wa Vinywaji na Chakula Unaoruhusu wateja wake kupata huduma ya Chakula na Vinywaji wakiwa uchi Kama walivyozaliwa ni Mgahawa wa The Bunyadi. Wahenga wanasema Kua...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Kuanzia saa 4 usiku hadi saa 7 ni Rumba, Pachanga, dansi za <1990s Tanzania RFA. kutoka saa 7 mkesha wa wahenga, TBC TAIFA, Mbazigwa hassan na Asossa. For music lovers!
1 Reactions
2 Replies
399 Views
naogeshwa kwa iliki..nafukizwa kwa ubani.. nisiwe mnaafik..ananipenda si utani.. mtoto shokishoki..anatokea visiwani.. tena amejikoki..haniachi asilani.. penzi lake mshikaki..lina tamu milioni...
0 Reactions
3 Replies
562 Views
tena sioni aibu.. kukutaja hadharani.. wew wangu tabibu ..tamu yangu kitandani.. mke wangu mahabubu.. hebu tuache utani.. kwako wew -mimi bubu,nabaki kukutamani.. kila kitu nahusudu ... nje hadi ndani
0 Reactions
0 Replies
467 Views
Habari zenu wakuu Hope mko powa kabisa. Kwanza naomba ifahamike kabisa kwamba kuwa na UKIMWI sio mwisho wa maisha kwakua wapo watu wengi wanaoishi na ugonjwa huu lakini bado wanaendelea kuishi...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
WAKUU KWEMA. HABARI ZA ASUBUHI. TUKUTANE KIDOGO HAPA NDUGU ZANGU WA HIP HOP. Wakati tunaenda kuumaliza huu mwaka 2023. Nitajie Top 10 ya ngoma zako bora ambazo umesikiliza sana kwa mwaka 2023...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Nahitaji series yenye maudui ya magenge ya kihuni, uhalifu, ubabe, madawa ya kulevya hadi sasa nimechekihizi series ambazo kwa hakika zimeniridhisha -narcos (toleo la pablo na la mexico)...
2 Reactions
29 Replies
6K Views
The first day we met ilikuwa last week, on Christmas day, tulikutana kama bahati tu bar fulani hapa hapa Dar. We stay at the same table having some drinks and stories. Baada ya kuzoeana kidogo...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwangu mimi mpenda muziki hizi nyimbo zimenivutia zaidi kwa huu mwaka 2023 nimezisikiliza mara nyingi. Sio nyimbo zote ni za mwaka 2023. 1. 23- Burna Boy 2. Renegade - Jay Z ft Eminem 3. House...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
UTAJUAJE NI BONGO MOVIES: 1. Jini akifika barabarani anaangalia pande zote ndo avukebarabara. 2. Matajiri majumba yao yana askari badala ya electric fence & gates. 3. Trailer inachukua dakika...
8 Reactions
193 Replies
32K Views
Uharamia (piracy) sio jambo jipya katika sanaa nchini, lilichangia kuanguka kwa BONGO MOVIE hasa baada ya mapato kupungua leo wasanii wamebaki kulaumu foreign films, TV shows and series wakati...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Mapenzi ya leo pesa..usikubali kudanganywa, Usipo kua na pesa..mapenzi yatakuchanganya, Yaani bila hata kupepesa..mke utanyang'anywa. Kama bado huna pesa, hebu anza kupambana, Tena acha...
0 Reactions
0 Replies
418 Views
Huu ni wimbo ulioimbwa na Mwanamuziki wa Africa ya Kusini Mwanamama Yvonne Chakachaka moja ya nyimbo bora dunian na zenye maudhui ya kuiambia dunia kuhusu upendo. Huu wimbo uliimbwa na Mwafrika...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Ni kwa miaka mitatu sasa bodi ya filamu nchini Tanzania imekuwa ikiandaa tamasha la filamu nchini. Na kila mwaka kumekuwa na maneno ya kukatisha tamaa kwa waandaaji filamu nchini kutokana na hisia...
1 Reactions
1 Replies
605 Views
Habari wakuu, tunahitaji mpiga bass guitar wa kila Jumapili kwenye ibada kanisani, muda kuanzia saa tatu mpaka saa tano na nusu. Masaa mawili na nusu kila Jumapili, kwa bei ya 15000/= kila...
0 Reactions
2 Replies
562 Views
SITASAHAU NILIVYOPATA UMAARUFU BAADA YA KULALA NA MAITI MOCHWARI LAKINI BAADAE YALIYONITOKEA SIKUTEGEMEA~01 Ni miaka mitano imepita[emoji800]tangu nilipokuja Dar es salaam kutafuta maisha haikua...
8 Reactions
100 Replies
13K Views
So far tunaelekea june kuugawa mwaka, mpaka sasa movie gani ya mwaka huu 2023 imekubamba? Mimi mpaka sasa kuna hii The covenant
9 Reactions
92 Replies
11K Views
Nimekileta hapa kwa idhini ya mwandishi John Wisse-0758321627 Download PDF
0 Reactions
13 Replies
12K Views
Back
Top Bottom