Jason Bourne

Jason Bourne

JBourne59

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2020
Posts
952
Reaction score
8,860
An injured, unconscious man washes ashore in a small French town. As he recovers, it becomes quite clear, someone is trying to kill him.

Nimeanza kurudia kuangalia upya, angalia nami kwa mtiririko huu:-

The Bourne Identity (2002)

The Bourne Supremacy (2004)

The Bourne Ultimatum (2007)

The Bourne Legacy (2012)

Jason Bourne (2016)

Kisha malizia kwa

Treadstone (full season) kila ukipata muda.
____

Je umewahi kuziangalia?
'Ilikuchukuwa? '
Nini uzoefu / maoni yako?
 
Nimeziangalia zote kwa muda tofauti. Hakika kwa movies za kijasus na wanayotendewa majasusi pale wanapotakiwa kuwa eliminated kwa jambo lolote either kwa usaliti, kujua siri ambazo hawakupaswa kujua na mbinu zinazotumika katika ulingo mzima wa spyonage hizi movies hakika zimesukwa na kusukika.
Nitaanza kuifuatilia hiyo series ya TREADSOME naimani itakuwa ni moto wakuotea mbali kwa hizi issues.
 
Ni ESPIONAGE

Siyo spyonage
 
An injured, unconscious man washes ashore in a small French town. As he recovers, it becomes quite clear, someone is trying to kill him.

Nimeanza kurudia kuangalia upya, angalia nami kwa mtiririko huu:-

The Bourne Identity (2002)

The Bourne Supremacy (2004)

The Bourne Ultimatum (2007)

The Bourne Legacy (2012)

Jason Bourne (2016)

Kisha malizia kwa

Treadstone (full season) kila ukipata muda.
____

Je umewahi kuziangalia?
'Ilikuchukuwa? '
Nini uzoefu / maoni yako?
Hii Ni muvi ambayo one reflect kilichopo kweny shirika la kijasusi la mrekan na hata abandonment ya majasusi wanapokuwa Wana feli mission inafanywa Sana ili taifa kunitoa kwenye liability Ila hii muvi hatari Sana
 
Jason mtu m’bad sana,

Nakubaliana na wenzangu huyo mjamaa ni moto wa kuetea mbali,

Nadiriki kusema kwamba kwa kizazi chake hakuna kama yeye
 
An injured, unconscious man washes ashore in a small French town. As he recovers, it becomes quite clear, someone is trying to kill him.

Nimeanza kurudia kuangalia upya, angalia nami kwa mtiririko huu:-

The Bourne Identity (2002)

The Bourne Supremacy (2004)

The Bourne Ultimatum (2007)

The Bourne Legacy (2012)

Jason Bourne (2016)

Kisha malizia kwa

Treadstone (full season) kila ukipata muda.
____

Je umewahi kuziangalia?
'Ilikuchukuwa? '
Nini uzoefu / maoni yako?
Hizi movie nimerudia hata sikumbuki mara ngapi.
Zimenifanya niwe nachagua sana movie.
 
Back
Top Bottom