Diamond Platinumz ashinda tuzo za MTV EMAs 2023

The Dictator

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
4,426
Reaction score
12,159
Diamond Platnumz amefanikiwa kushinda tuzo ya the Best African Act Award katika sherehe ya utoaji tuzo hizo ya (the 2023 MTV EMAs).

Amekuwa msanii wa kwanza wa Afrika na Africa mashariki kushinda tuzo 3 za MTV European Music Awards (EMAs).

Aliwahi kushinda tuzo mbili (2) ya BEST AFRICAN ACT na BEST WORLDWIDE ACT (AFRICA/INDIA) ndani ya usiku mmoja mwaka kwenye 2015 MTV EMAs.
 
Anastahili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ashukuriwe Jk .
Jk nae yumo 😂🙌🏾

Ni mega mind pro legend ex-presidaa..., ana koneksheni kila kona duniani. Mpaka kwenye burudani na michezo. Ni simu moja tu, huku akiwa anachekacheka

"Nasemaje! Nataka kijana wangu na yeye anyanyue kwapa jamani, ni kitambo... mmeshatukula sana, ni muda wenu sasa na nyinyi mliwe"

😂😂😂🙌🏾
 
Back
Top Bottom