Ni zipi ngoma kali za Hip Hop 2023?

central midfielder

Senior Member
Apr 14, 2023
132
187
WAKUU KWEMA. HABARI ZA ASUBUHI. TUKUTANE KIDOGO HAPA NDUGU ZANGU WA HIP HOP.

Wakati tunaenda kuumaliza huu mwaka 2023.

Nitajie Top 10 ya ngoma zako bora ambazo umesikiliza sana kwa mwaka 2023 kwa upande wa Hip Hop lakini. Sio hizo trap.

Ukishindwa nitajie top 5 yako..Yale mawe makali ya HIP HOP 2023.
 
1. J Cole ft andre 3000_ promised land
2. Kanye west _ where have I been
3. Expandables cypher _ freshlike uh, mexcortez, imam Abbas
4. Dizasta _ achia Jala ft kaa la moto
5. Joey badas_ shine

Hizi ngoma zimezingatia vingi kuanzia lyrics midundo na flows ( midondoko)
 
Niko hapa kuangalia listi za wadau ili nitafute madini watakayo orodhesha niyatafute.

Karibia nusu mwaka sikuwa kabisa na smart phone. Mengi yalinipita.
 
1. J Cole ft andre 3000_ promised land
2. Kanye west _ where have I been
3. Expandables cypher _ freshlike uh, mexcortez, imam Abbas
4. Dizasta _ achia Jala ft kaa la moto
5. Joey badas_ shine

Hizi ngoma zimezingatia vingi kuanzia lyrics midundo na flows ( midondoko)
Achia jala imesimama sana upande wa bongo hip hop
 
1. J Cole ft andre 3000_ promised land
Hamna ngoma kama hii.

Huyu alikuwa DJ Miso misondo wa USA (will on the soul) tu kafanya remix .,.hiyo verse ya Dre humo ni kutoka Mrs Donda Album ya Ye, na Verse ya Jcole kaitolea kwenye ngoma ya Jcole-Heaven's EP ambayo nayo ni remix ya ngoma ya drake-Pipe down
 
1. Evil ways-Drake and Cole
2. FPS- Drake and Cole
3. All my life - Durk and Cole
4. Smurk Carter- Durkio
5. 40 missed calls- Rapcha
6. Wachezaji wa timu- Dizasta
7. Any JID song
 
01, All my life- durk ft j Cole
02, land lord- Sarkodie
03, no big deal - nasty c
04, kwame - khaligraph Jones
05, first person shooter- Drake ft Cole
06, Declan rice - odumodubvck
07, ving rhames - a Reece
08, under rated remix- stamina
09, tribulation - dizasta vina
10best friend - dizasta vina
11, 40 missed call - rapcha
12, freestyle 6, Young killer msodoki
13, kila siku- Young killer msodoki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom