Ni channel gani yako pendwa zaidi youtube kwa sasa?

1. AutotopNL
2. Carwow
3. DougDemuro
4. Forrest's auto review
Hizo 1-4 zinaelezea magari kwa car enthusiast na wengine wenye interest ya kufahamu vitu vya motor industry.

5. 2nacheki
6. Dr. Mumbai
7. Wodemaya
Hizo 5-7 zinaelezea katika kuielezea Afrika na uzuri wake.
 
Back
Top Bottom