Sisi wa Miaka ya 90s na muziki wetu wa Kongo Mnawakumbuka hawa Rappers ?Huyu alikuwa Mkali.

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Messages
1,799
Points
2,000

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2014
1,799 2,000
miaka hiyo muziki ambao ulikuwa ukitamba sana bongo ulikuwa ni lingala. enzi za akina kanda bongo man,bozi boziana,diblo dibala, lokassa ya mbongo,akina yondo sister,gatho,madilu system,defao,koffi olomide,aurlus mabele na kundi la loketo, soukos stars,soukos vibration, wenge musica,bcbg, zaita musika,pepe kalle, etc

je mnawakumbuka rappers mbalimbali waliokuwa na wanamuziki au makundi mbalimbali yakiwemo yaliyotajwa hapo juu?

unaikumbuka album ya Koffi Olomide LOI? yule jamaa aliye rap kwenye ile album yu wapi na ungemfananisha vipi na Rapper wa Pepe Kalle papy tex ? akiwa na akina dilu dilumona, au unawezaje kumfananisha na aliyekuwa rapper wa General Defao katika album zake za Famile Kikuta na Sala noki?

au umewahi sikiliza rapper wa wenge musica kala yi boeing? au pentagone? unawakumbuka wale rappers . je unawakumbuka watu kama mimi kazidona? djuna mumbafu wa pepe kale akilicharaza guiter huku papy tex akighani na sauti yake nyororo? kule unamkuta mzee mzima koffi olomide akimwachia bwana mdogo arap huku yeye anachombeza kwa saut nzito... kama hataki hivi anaongea ongea maneno ambayo sisi hatuyfaham.... ila bwana mdogo flani yeye ana rap ana ghani akilalamika na kutupeleka mchaka mchaka? nani anawakumbuka hawa? nani anaweza sema flani alikuwa mkali kuliko flani?

huu mtindo wa kuwa na mtu wa kughani inasemekana aliuanzisha jitu la miaka minne pepe kalle na wengine wakaoana ni jambo zuri wakaliiga. ndo mwanzo wa kuwa na rapper.. mtu mzima anaimba halafu anakuja kumwachia rapper alete vionjo mbalimbali. mpaka leo tutasema nani ni mkali ?

mtindo huu wa kuwa na rappers unaendelea mpaka leo tunawaona hata akina fally ipupa na wengineo wanakuwa na rappers kwa ajili ya kuchombeza likianza kupigwa sebene....

swali nani alikuwa au nani ni mkali wa rappers wote ambao umewahi wasikia? tuwaweke hapa na vibao vyao unavyokumbuka. mimi ntakupa kibao cha pepe kalle rhumba rhumba, ntakupa kibao cha koffi olomide- loi au endrada . kama hujanielewa kasikilize kibao cha famille kikuta cha general defao. au nenda kawasikilize wenge musica na pentagone yao. au wenge bcbg titanic.
 
kamikaze

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2011
Messages
278
Points
250

kamikaze

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2011
278 250
Hao atalaku wa koffi nawapenda sana hasa aliyerap kwenye album ya magie na nyinginezo, Ila KILA MBONGO wa extra musica namkubali sana.
 
Hardbody

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2017
Messages
2,209
Points
2,000

Hardbody

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2017
2,209 2,000
Namuelewa zaidi Werrason (jina lake kamili silijui).... Leo ntakuwepo kwenye show yake pale Escape 1

Huyu jamaa ni hatari sana. Hapa 'Kalayi boinge',...... hapa 'Sololabien'.... Hatari sanaaaaaaa!
 
Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Messages
1,799
Points
2,000

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2014
1,799 2,000
miaka hiyo muziki ambao ulikuwa ukitamba sana bongo ulikuwa ni lingala. enzi za akina kanda bongo man,bozi boziana,diblo dibala, lokassa ya mbongo,akina yondo sister,gatho,madilu system,defao,koffi olomide,aurlus mabele na kundi la loketo, soukos stars,soukos vibration, wenge musica,bcbg, zaita musika,pepe kalle, etc

je mnawakumbuka rappers mbalimbali waliokuwa na wanamuziki au makundi mbalimbali yakiwemo yaliyotajwa hapo juu?

unaikumbuka album ya Koffi Olomide LOI? yule jamaa aliye rap kwenye ile album yu wapi na ungemfananisha vipi na Rapper wa Pepe Kalle papy tex ? akiwa na akina dilu dilumona, au unawezaje kumfananisha na aliyekuwa rapper wa General Defao katika album zake za Famile Kikuta na Sala noki?

au umewahi sikiliza rapper wa wenge musica kala yi boeing? au pentagone? unawakumbuka wale rappers . je unawakumbuka watu kama mimi kazidona? djuna mumbafu wa pepe kale akilicharaza guiter huku papy tex akighani na sauti yake nyororo? kule unamkuta mzee mzima koffi olomide akimwachia bwana mdogo arap huku yeye anachombeza kwa saut nzito... kama hataki hivi anaongea ongea maneno ambayo sisi hatuyfaham.... ila bwana mdogo flani yeye ana rap ana ghani akilalamika na kutupeleka mchaka mchaka? nani anawakumbuka hawa? nani anaweza sema flani alikuwa mkali kuliko flani?

huu mtindo wa kuwa na mtu wa kughani inasemekana aliuanzisha jitu la miaka minne pepe kalle na wengine wakaoana ni jambo zuri wakaliiga. ndo mwanzo wa kuwa na rapper.. mtu mzima anaimba halafu anakuja kumwachia rapper alete vionjo mbalimbali. mpaka leo tutasema nani ni mkali ?

mtindo huu wa kuwa na rappers unaendelea mpaka leo tunawaona hata akina fally ipupa na wengineo wanakuwa na rappers kwa ajili ya kuchombeza likianza kupigwa sebene....

swali nani alikuwa au nani ni mkali wa rappers wote ambao umewahi wasikia? tuwaweke hapa na vibao vyao unavyokumbuka. mimi ntakupa kibao cha pepe kalle rhumba rhumba, ntakupa kibao cha koffi olomide- loi au endrada . kama hujanielewa kasikilize kibao cha famille kikuta cha general defao. au nenda kawasikilize wenge musica na pentagone yao. au wenge bcbg titanic.
 
msumeno

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2009
Messages
2,834
Points
2,000

msumeno

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2009
2,834 2,000
mkuu unaujua mziki wa congo wa miaka hiyo, ila muziki huu wa congo ni miongoni mwa miziki inayoishi, pale KIN ( Kinshasa) mpaka leo watu wanaimba hizo ulbum na za nyuma ya hapo hasa la Zaiko langalanga, za akina Nyokalongo, na Djuna Djanana... Redi Amis na wengineo, le miziki ya ba congo , ni mutuka munene ukange njela
 
Kila Mbongo

Member
Joined
Aug 28, 2017
Messages
54
Points
125

Kila Mbongo

Member
Joined Aug 28, 2017
54 125
Hahahahaaaa......enzi hizo mzikiwa Kongo ukiwa mziki kweli.Atalaku(Repa) wa Koffi kwenye kwenye album ya Loi(Sheria) walikua wawili....Mboshi Lipasa na Paraboulique Somono.Najua wewe utakua unamsema Somono maana ndiye aliyekua anaonekana sana kwenye video nyingi za Koffi.

Atalaku wengine(Rappers) ninaowakumbuka ni kama wafuatao.
1.Roberto Wunda Ekokota&Tutu Kaluji(Wenge Musica BCBG kabla haijajitenga.
2.Theo Mbala&Yapekose(General Defao&Big Star)
3.Bileku Mpasi Djuna Mumbafu(Pepe Kalle)
4.Kila Mbongo&Arafat(Extra Musica)
5.Code Niawu.Huyu aliimba bendi mbalimbali za Kongo na hasa za miondoko ya Soukous kama Yondo Sisters,Kanda Bongo Man(Wimbo wa Bili),

Kuhusu nani nani alikua mkali ni ngumu sana kwa upande wangu sijajua hadi leo maana jamaa walikua hatari sana.
 
Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Messages
1,799
Points
2,000

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2014
1,799 2,000
umenikumbusha BilekuMpasi nlimsahau hyu jamaa.. kiukweli alikuwa mzuri sana kwenye ku rap
Hahahahaaaa......enzi hizo mzikiwa Kongo ukiwa mziki kweli.Atalaku(Repa) wa Koffi kwenye kwenye album ya Loi(Sheria) walikua wawili....Mboshi Lipasa na Paraboulique Somono.Najua wewe utakua unamsema Somono maana ndiye aliyekua anaonekana sana kwenye video nyingi za Koffi.

Atalaku wengine(Rappers) ninaowakumbuka ni kama wafuatao.
1.Roberto Wunda Ekokota&Tutu Kaluji(Wenge Musica BCBG kabla haijajitenga.
2.Theo Mbala&Yapekose(General Defao&Big Star)
3.Bileku Mpasi Djuna Mumbafu(Pepe Kalle)
4.Kila Mbongo&Arafat(Extra Musica)
5.Code Niawu.Huyu aliimba bendi mbalimbali za Kongo na hasa za miondoko ya Soukous kama Yondo Sisters,Kanda Bongo Man(Wimbo wa Bili),

Kuhusu nani nani alikua mkali ni ngumu sana kwa upande wangu sijajua hadi leo maana jamaa walikua hatari sana.
 
Forum statistics

Threads 1,381,157
Members 525,998
Posts 33,790,731
Top