Mziki wa Rwanda

Mediaty

Member
Aug 10, 2023
23
24
Binafsi, napenda sana muziki - kusikiliza, kuimba nk.

Tuzungumzie mziki wa Rwanda leo. Rwanda ni nchi ndogo sana lakini imejaliwa wasanii wazuri sana, wenye sauti (Meddy,Okkama, Marina, Afrique, The Ben, Nillan, Chris Eazy, Bruce Melody nk.) Wote hao wana mziki mzuri sana bila kusahau vocal ambazo wanajua kucheza nazo vyema.

Mziki wao ume egemea sana kwenye Afrosound. Utakubaliana nami kuwa wana maproducer ambao sio wababaishaji, ukisikia mixing za Element, Major na wengine kwakweli zimeenda shule.

Binafsi naitabilia makubwa kwenye mziki.

BAADHI YA NYIMBO KALI ZA RWANDA
Alijoma - Happiness
Afrique - Agatunda
Nillan - Pause
Chris Eazy - Eden
 
Back
Top Bottom