Wito wa kuacha kuhudhuria Show zote za Harmonize

Mhaya

JF-Expert Member
Aug 20, 2023
1,658
4,866
Harmonize kumpiga beat shabiki ni kitendo cha kuonesha kutokuheshimu mashabiki waliouzulia show yako.

Shabiki katenda wajibu wake wa kuja kwenye show yako, alafu kisa tu kazengua mahala fulani unampiga beat kwamba utampiga kichwa na ashindwe kuamka.

Hii kauli aliyotoa Harmonize sio ya kiungwana kwa sisi mashabiki wa burudani nchini Tanzania. Na inatuogopesha kuhudhuria matamasha ya Harmonize, tusijekumbwa na vipigo tusivyovitalajia.

Maama hivi karibuni Harmonize ameonekana kuzidi kuwa mkorofishi baada ya wiki chache zilizopita kusemekana kumpiga Baba Levo ndani ya moja ya casino, na kupelekea baba levo kufungwa head support. Let's boycott all Harmonize show.

Tizama hiyo clip


View: https://www.instagram.com/reel/C33c871L4ZR/?igsh=MW9vamRvc29ldmpyYQ==
 
Harmonize kumpiga beat shabiki ni kitendo cha kuonesha kutokuheshimu mashabiki waliouzulia show yako. Shabiki katenda wajibu wake wa kuja kwenye show yako, alafu kisa tu kazengua mahala fulani unampiga beat kwamba utampiga kichwa na ashindwe kuamka. Hii kauli aliyotoa Harmonize sio ya kiungwana kwa sisi mashabiki wa burudani nchini Tanzania. Na inatuogopesha kuhudhuria matamasha ya Harmonize, tusijekumbwa na vipigo tusivyovitalajia. Maama hivi karibuni Harmonize ameonekana kuzidi kuwa mkorofishi baada ya wiki chache zilizopita kusemekana kumpiga Baba Levo ndani ya moja ya casino, na kupelekea baba levo kufungwa head support. Let's boycott all Harmonize show

Tizama hiyo clip

View: https://www.instagram.com/reel/C33c871L4ZR/?igsh=MW9vamRvc29ldmpyYQ==

Bado hujasema, mpaka mseme na baado. mmmmhh
 
Lini ulimshuhudia akishuka jukwaani na kumpiga shabiki🙄.
Wewe Kwanza haikuhusu,na katika show zake hunaga mda wa kuhudhuria.
Kwani shabiki mhusika anasemaje kuhusu show za Konde boy🤣.

We acha kwenda,ila jua ile ni vibe tu.Maswala ya Baba Levo si angeenda Polisi au😓.
Mwacheni Konde aendelee kukiwasha hakuna namna.
 
Back
Top Bottom