Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

wako wapi mwisho mwampamba, Richard wa BBA, these guys are the best BBA contestants ever
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Huwaga niki angaliaga vipindi vyake sivielewi elewi ivi watangazaji wake na wanavyo vyaa agaa kuongea ongea huwaa na ichukia haina mpangilio maaluu na kama kipindi kilee cha bibibomba kilivyoo...
0 Reactions
2 Replies
13K Views
kiufupi mi ni shabiki namba moja wa muziki na huwa sibagui wanamuziki,napenda Hip hop na bflava pia,kwa muda sasa nimekuwa nikifuatilia muzik wenu pamoja na wasanii wengine lakini naona kuna kitu...
4 Reactions
6 Replies
5K Views
1918: Mandela was born in the village of Mvezo, in the Transkei on 18 July. His father, a member of the Thembu clan, has three other wives in addition to Rolihlahla’s mother, and 12 other sons...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Mchezaji nyota wa Rugby Blake Ferguson ametangaza kusilimu na kuwa muislamu katika msikiti wa zetland huko mji wa Sydney, Australia. Ferguson mwenye umri wa miaka 23, alitamkishwa shahada ndani...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Posted by GLOBAL on December 2, 2013 at 7:30am View Blog Msanii Kajala Masanja.Stori: Imelda Mtema MWIGIZAJI Kajala Masanja amesema amekuwa akikosa usingizi usiku kutokana na mawazo ya rufaa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Peter Okoye of P’Square and Lola Omotayo’s love story is compelling and amazing. The couple have been in a relationship for over eight years before they finally tied the knot on Sunday, November...
3 Reactions
15 Replies
5K Views
Habari zenu wadau! kwa kweli naandika hapa kwa masikitiko makubwa. kila ninapolitazama soko la filamu TANZANIA, nasikitika saba mara sabini! vijana wengi ambalo wamelikamata soko hili kwa kweli...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
MEBAINIKA kwamba msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania,Nassib Abdul Mohamed maarufu kwa jina la (Diamond Platnumz) anatumia nyota za wanawake katika kujipatia umaarufu, habari za...
0 Reactions
18 Replies
10K Views
Manager wa Wema Sepetu Martin Kadinda Amejitokeza na kusema kuwa Baadhi ya Wasanii wenzake na Wema Sepetu ndio wanao mchafua Wema mitandaoni kwa kutumia Majina Mengine kwa kile anachodai ni...
0 Reactions
14 Replies
9K Views
Msanii wa kundi la Tip Top Connection Khalid Ramadhan aka Tunda Man, alikuwa ni miongoni mwa watu waliokuwa wanamiliki silaha za moto (bastola), kitu kilichofahamika na kuandikwa na baadhi ya...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Tukiwa tunaelekea ukingoni mwa mwaka huu, mtandao wa bongo5 umeandaa orodha ya Music Videos za wasanii wa Bongo zilizotazamwa zaidi katika mtandao wa Youtube 2013. Diamond Platnumz ndiye mfalme wa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mchezaji nyota wa timu ya Manchester United na England, Wayne Rooney anadaiwa alipoteza nguvu zake za kiume baada ya upandikizaji wa nywele mwaka jana Kituo cha runinga cha KTN cha nchini...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
FLAYER designed by heaven on desert-WCB
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Najaribu kutafakari kwa nini DRC katika miaka ya 2000 haijatoa wanamuziki nguli wa kike kama ilivyokua miaka ya 80 na 90 ambspo wanamuziki wengi wa kike walitamba kama akina Mbilia Bell. Tshala...
0 Reactions
9 Replies
9K Views
Wakuu wasalaamu, Ni J5 tulivu kabisa naomba tujadili kwa nini wanamuziki wetu hasa wa bongo fleva wana hit ila hawana mafanikio mazuri ya kiuchumi ukilanganisha na majirani zetu kenya na uganda...
3 Reactions
7 Replies
3K Views
Watu Wengi Wamekuwa Wakimsifia Msanii Diamond Kuwa Ni Msanii Anayeongoza Kwa Mafanikio Hapa Tz Hili Linanifanya Nijiulize Maswali Bila Majibu Hivi Tunapo Zungumzia Mafanikio Ya Msanii Tunatumia...
0 Reactions
66 Replies
32K Views
1.Anasema ukimchezea yupo tayari kufia mikononi mwako 2.Awachana viongozi wanauza nchi kwa kulala 5* hotel na kupanda ndege tu 3.Awachana viongozi wanaolindwa wakati ndio hao wanauza nchi kwa...
0 Reactions
22 Replies
8K Views
Back
Top Bottom