Msanii wa filamu bongo,na mwenye jina kubwa kuliko umri wake,Elizabeth Michael aka LULU, ameonesha msimamo mkali baada ya msanii wa bongo fleva mwenye jina la madini expensive Naseeb Mohamed au...
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mimi ni Team Wea, kitambo sanaa, japo alivosema analeta show nikajua itakuwa ya kubo boa coz honestly kwa mtazamo wangu nilijua wema...
amepotea sana huyu mama yetu maarufu kwa ktema cheche bungeni, nilipita ile barabara inayokatiza kwenda jimboni kwake na baada ya kuiona bado ya vumbi nikamkumbuka sana, kwamba cheche zote zile...
keep hatin wakati wenzio wanatumia fursa vizuri..
ila kilichonifulahisha ..toka tangazo litoke hakuna coments ya matusi hata moja ..wanaume ambao ndio huongoza kwa coments za chuki na matus kwenye...
Tabu Ley Rochereau (born November 13, 1940) was a musician from the Democratic Republic of the Congo. He was the leader of Orchestre Afrisa International and one of Africa's most influential...
Habari zilizotufikia punde ni kuwa Tabu Ley ameaga dunia muda mfupi uliopita katika hospitali ya Mama Yemo kutokana na ugonjwa wa moyo , Mama Yemo ni hospitali kubwa mjini Kinshasa ambayo...
Wasanii wakongwe wa muziki, nawazungumzia madonna louise veronica ciccone a.k.a MADONNA(USA) na judith wambura mbibo a.k.a LADY JAYDEE(TZ) wameonyesha ukongwe wao kwenye tasnia ya muziki kwa...
Jamaa ana sauti ya kuimba inshort ana kipaji cha muziki. Lakini ameruhusu kipaji kipotee na kuruhusu aliowatoa kumpita kama Ommy Dimpoz na wengne. Jamaa anakosa nin? Management? Washauri? Au ni...
Naona matamasha makubwa ya muziki
yanafanyika pale
najiuliza huu uwanja unaingiza watu wangapi maximum ?
na viwanja vingine je?
uwanja wa ustawi je?
watu wangapi?
kwa Daresalaam uwanja au...
Kanye and Kim Kartrashian gave an interview via satellite from their own asses to Hot 97 (via UsWeekly). He called Kim the most beautiful woman in human existence and he compared their love to...
Ni jambo la kawaida kwa wasanii wa bongoflava hasa wakubwa kama steve RnB kutembea na kila demu mzuri hapa bongo.lakini kwa steve ni tofauti kabisa kwani amefanikiwa kumvisha pete ya uchumba...
Wakati kukiwa na madai kuwa msanii Baby Madaha anatumia dawa za kienyeji kuwateka wanaume kimapenzi, mrembo huyo ameibuka na kusema kuwa siri ya kuwateka wanaume ni...
Namkubali sana Henry Mdimu, he is a great entertainer !
Enzi zile akiwa times FM katika kipindi chake kilichoitwa kituo cha kazi, hakika ilikuwa burudani, alifanya yake.
Ilikuwa ikifika saa 3 asb...
UKIFIKA katika mtaa anaoishi mwanamuziki Diamond maeneo ya Sinza Mori jijini Dar es Salaam utaanza kuhisi kuwa kuna staa anayeishi maeneo hayo, macho ya wengi huanza kumtazama mtu anayeelekea...
Leo niko hapa kuliongelea hili swala la Bhits na saga yao ya kuondokewa na wasanii mahiri kama mabeste, vanessa mdee na dogo gosby nilichokigundua hapa ni kuwa wasanii wa watanzania bado...
NAJIULIZA Tu Huyu Mtangazaji AliyeKuwa Machachari,huko Nyuma Wakti Huo Nilikuwa Namsikia Redioni Tu Jezi Namba 9 Mgongoni,mbona Sikuhizi Dhoofu Sana Hachangamki, Huko Nyuma Hukuwa Hivyo! Ni Nini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.