Number 1 video ya diamond yaongoza kwa kutazamwa zaidi youtube

  • Thread starter heaven on desert
  • Start date

heaven on desert

heaven on desert

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Messages
1,025
Likes
11
Points
0
heaven on desert

heaven on desert

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2013
1,025 11 0
Tukiwa tunaelekea ukingoni mwa mwaka huu, mtandao wa bongo5 umeandaa orodha ya Music Videos za wasanii wa Bongo zilizotazamwa zaidi katika mtandao wa Youtube 2013.
Diamond Platnumz ndiye mfalme wa orodha hii, video yake ya ‘My Number One’ iliyowekwa Youtube September 2, 2013 imetazamwa mara 1,258,363, kiasi ambacho hakuna music video nyingine ya bongo iliyoweza kufikisha hata robo yake (kwa mujibu wa orodha hii).
Orodha hii imeangalia video zilizowekwa kuanzia January 2013 hadi leo, lakini imezingatia video ambazo angalau zimeweza kufikisha views kuanzia 10,000 na kuendelea. Kwa zile video ambazo zimewekwa na watu wengi youtube, tumechukua moja ambayo ndio ina views nyingi zaidi.
youtube2
Hii ni orodha kamili ya Music Videos 32 za wasanii wa Bongo zilizotazamwa zaidi Youtube 2013.
1.Diamond Platnumz – My Number One
Imewekwa: September 2, 2013
Views: 1,258,363
2.Lady Jaydee ft. Professor Jay – Joto Hasira
Imewekwa: March 15, 2013
Views: 190,688
3.Lady Jaydee – Yahaya
Imewekwa: August 17, 2013
Views: 166,792
4.Rich Mavoko – One Time
Imewekwa: March 18, 2013
Views: 157,931
5.Keisha ft. Diamond – Nimechoka
Imewekwa: January 24, 2013
Views: 102,386
6.Nay Wa Mitego & Diamond – Muziki gani
Imewekwa: May 26, 2013
Views: 99,724
7.Ben Pol – Jikubali
Imewekwa: Jun 10, 2013
Views: 97,970
8.Shaa – Lava Lava
Imewekwa: March 28, 2013
Views: 86,814
9.Snura – Majanga
Imewekwa: June 20, 2013
Views: 86,271
10.Jux – Uzuri wako
Imewekwa: September 2 , 2013
Views: 80,509
11.Young Killer Msodoki & Stamina ft Quick Rocker – Jana na Leo
Imewekwa: August 14, 2013
View: 80,169
12.Madee – Sio Mimi
Imewekwa: April 22, 2013
Views: 74,893
13.Shilole – Paka la bar
Imewekwa: May 17, 2013
Views: 73,517

14.AT ft. Dida – Kitumbua
Imewekwa: July 5, 2013
Views: 71,072
15.Abdu kiba ft Ali kiba – Kidela
Imewekwa: June 20, 2013
Views: 68,717
16.Quick Rocka ft. Ngwair & Shaa – My Baby
Imewekwa: June 23, 2013
Views: 56,787
17.Mwana FA & AY- Bila Kukunja goti
Imewekwa: October 11, 2013
Views: 51,511
18.Vanessa Mdee – Closer
Imewekwa: June 12, 2013
Views: 51,174
19.Stamina ft Darasa & Warda – Mwambie Mwenzio
Imewekwa: September 3, 2013
Views: 44,281
20.Lucci & Jokate – Kaka Dada
Imewekwa: August 23, 2013
Views: 40,953
21.Shilole – Nakomaa na Jiji
Imewekwa: November 8, 2013
Views: 35,880
22.Ommy Dimpoz Ft. Vanessa Mdee – Me and You
Imewekwa: March 2, 2013
Views: 34,662
23.Shetta ft. Rich Mavoko – Sina Imani
Imewekwa: July 15, 2013
Views: 33,777
24.Feza Kessy – Amani ya moyo
Imewekwa: June 23, 2013
Views: 32,995
25.Shaa – Sugua gaga
Imewekwa: November 4, 2013
Views: 29,889
26.Snura – Nimevurugwa
Imewekwa: November 22, 2013
Views: 23,539
27.Roma – 2030
Imewekwa: November 1, 2013
Views: 23,210
28.Darasa ft. Winnie – Nishike Mkono
Imewekwa: January 16, 2013
Views: 21,057

29.Matonya – Sembule
Imewekwa: July 7, 2013
Views: 18,215
30.Timbulo – Sina makosa
Imewekwa: June 20, 2013
Views: 17,345
31.Kala Jeremiah ft. Ben Pol – Karibu Dar
Imewekwa: March 16, 2013
Views: 17,110
32.Izzo B ft. Barnaba & Shaa – Love Me
Imewekwa: July 12, 2013
Views: 10,662/.
 
Chachu Ombara

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Messages
5,295
Likes
5,648
Points
280
Chachu Ombara

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2012
5,295 5,648 280
Kwanza hongera sana kwa kuandika thread yako vizuri ila kama huja-copy na ku-paste hapa maana nilizoea kuona ukiandika hovyo hovyo.

Pili pongezi nyingi kwa boss wako kuweza kuongoza duru hii,kwangu video nilotazama mara nyingi ni Jana na leo ya ''Young killer Msodoki,handsome asiye na matunzo'',nadhani inafika mara 50.
 
badiebey

badiebey

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2013
Messages
5,888
Likes
485
Points
180
badiebey

badiebey

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2013
5,888 485 180
shine bright like a diamond...
 
MTAZAMO

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Messages
13,883
Likes
8,804
Points
280
MTAZAMO

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined Feb 8, 2011
13,883 8,804 280
Hii thread umeiandika vizuri kwakweli bila mipasho.
Unapomuwakilisha msanii unapaswa kuongeza mashabiki wake kwa kutengeneza zaidi marafiki au watu wavutiwe kufatilia habari zake.
JF ni shule hapa unanyooshwa kwa lazima hata kama ni samaki mzee.

Kazi nzuri.
 
BRAVO 2 ZERO

BRAVO 2 ZERO

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2013
Messages
925
Likes
400
Points
80
BRAVO 2 ZERO

BRAVO 2 ZERO

JF-Expert Member
Joined Jul 16, 2013
925 400 80
Usisahau kumwambia boss akununulie chain.......
 
J

Jogoo kijiti

Member
Joined
Sep 26, 2013
Messages
34
Likes
0
Points
0
J

Jogoo kijiti

Member
Joined Sep 26, 2013
34 0 0
kwa mtazamo wangu lava lava ya shaa ndo video bora kwangu..according to mimi.
 
mtz one

mtz one

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Messages
3,894
Likes
407
Points
180
mtz one

mtz one

JF-Expert Member
Joined Dec 25, 2012
3,894 407 180
mwambie boss asikusahau
 
Bufa

Bufa

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2012
Messages
4,836
Likes
4,542
Points
280
Bufa

Bufa

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2012
4,836 4,542 280
Source: bongo5.com sio huyu jamaa. heaven on desert uwe unatoa credit kwa source
 
Last edited by a moderator:
FYATU

FYATU

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2011
Messages
5,265
Likes
3,453
Points
280
FYATU

FYATU

JF-Expert Member
Joined Dec 7, 2011
5,265 3,453 280
kwa mtazamo wangu lava lava ya shaa ndo video bora kwangu..according to mimi.
Ishu hapa ni VIEWS hilo la video bora ungeanzisha thread yake...................GREAT THINKER...
 
Viol

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Messages
19,943
Likes
2,457
Points
280
Viol

Viol

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2009
19,943 2,457 280
Hongera zake,hiyo ndo faida ya scandal unapata views kibao.
Sasa challange kwake,Je PSY-gangnam style anapataje viewers zaidi ya billion moja kwa wiki?
 
124 Ali

124 Ali

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2010
Messages
6,685
Likes
3,295
Points
280
124 Ali

124 Ali

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2010
6,685 3,295 280
Najua kwa nini ina view nyingi,ni kwamba baada ya kutangazwa vya kutisha(si vya kutosha) watu wengi walitaka kuuona huo ubora wake-lakini unajua kipimo halisi cha muziki wa kibongo?ni pale tu ukisikia inaimbwa imbwa na watoto mitaani ,kama usipoisikia midomoni kwa watoto ujue hamna kitu hapo-narejea hii ni tathmini ya kibongobongo!
 

Forum statistics

Threads 1,249,667
Members 480,998
Posts 29,706,774