Why I Married Peter Okoye Despite The Fact He Is Yonger Than Me – Lola Omotayo

Money Stunna

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Messages
13,097
Likes
375
Points
180
Money Stunna

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2011
13,097 375 180
Peter Okoye of P’Square and Lola Omotayo’s love story is compelling and amazing. The couple have been in a relationship for over eight years before they finally tied the knot on Sunday, November 17, 2013.There has been a lot of talk and whispers about their marriage, the family issues and the fact that Lola is by far older than Peter Okoye has been trending. But why did she decide to marry someone who’s her junior?

Below is Lola Omotayo’s stand on their age difference…
Lola, who was a Business Development Director at FKG2m a marketing agency in Lagos, had told the story of how she and Peter met and how the relationship started:

“My agency handles some of British American Tobacco brands and P’Square was doing a show for us at one of our events in Enugu. Though I had met Peter a couple of times before then, at the show there was some chemistry.

He asked for my number and I refused giving it to him. I told him ‘if you really want to know me, you have to find my number’. So he took it as a task and found my number and the rest is history.”

Lola, said to be in her 30s then and Peter in his 20s, was not disturbed by the age difference. Her reason:

“Like I said, Peter is an old soul and he always tells me that I’m like a 23-year-old. Age is just a number. Right now, you can see it around the world. Demi Moore, Usher and some known people. Even in Nigeria here, they are dating people far older than their age. So, we shouldn’t base it on the age factor. He doesn’t make me feel like he’s younger than me.”

Hmmmn, is age really just a number in marriage, especially in Nigeria?
1444269_Peter-and-Lola-3_jpga2dff2f351ed437680b45f3f3d59e91e
 
M

mjasiriamalidzamani

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Messages
295
Likes
192
Points
60
M

mjasiriamalidzamani

JF-Expert Member
Joined Nov 11, 2013
295 192 60
money stunna we upo wapi!the real tea on that relationship ni kwamba Lola kicheche,amecheat on the dude so many times ndio maana inasemekana hata bro wao ambao ni manager alisusia kwenda kwenye harusi,na wanasema familia nzima ya peter haimkubali lola hadi bi mkubwa wao kabla ya kuvuta,rite now inasemekana family inamlazimisha peter afanye dna za hao watoto wake 2 aliozaa na lola
 
Money Stunna

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Messages
13,097
Likes
375
Points
180
Money Stunna

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2011
13,097 375 180
money stunna we upo wapi!the real tea on that relationship ni kwamba Lola kicheche,amecheat on the dude so many times ndio maana inasemekana hata bro wao ambao ni manager alisusia kwenda kwenye harusi,na wanasema familia nzima ya peter haimkubali lola hadi bi mkubwa wao kabla ya kuvuta,rite now inasemekana family inamlazimisha peter afanye dna za hao watoto wake 2 aliozaa na lola
ilo najua lakin watu wameumbwa mdomo wa kuongea yeye ashampenda na walikuwa kwenye uchumba kwa miaka 8 hivo wanajuana.

usikubali mtu akuchagulie wife ata wakisusa watajiju ukiamua kuoa we oa tu mwisho wa siku we ndio utakaoishi naye
 
Emma Lukosi

Emma Lukosi

Verified Member
Joined
Jul 22, 2009
Messages
931
Likes
9
Points
35
Emma Lukosi

Emma Lukosi

Verified Member
Joined Jul 22, 2009
931 9 35
ilo najua lakin watu wameumbwa mdomo wa kuongea yeye ashampenda na walikuwa kwenye uchumba kwa miaka 8 hivo wanajuana.

usikubali mtu akuchagulie wife ata wakisusa watajiju ukiamua kuoa we oa tu mwisho wa siku we ndio utakaoishi naye
For once n for a while kula gwala mtu wangu
 
PLL

PLL

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2013
Messages
882
Likes
9
Points
35
Age
33
PLL

PLL

JF-Expert Member
Joined Jan 22, 2013
882 9 35
money stunna we upo wapi!the real tea on that relationship ni kwamba Lola kicheche,amecheat on the dude so many times ndio maana inasemekana hata bro wao ambao ni manager alisusia kwenda kwenye harusi,na wanasema familia nzima ya peter haimkubali lola hadi bi mkubwa wao kabla ya kuvuta,rite now inasemekana family inamlazimisha peter afanye dna za hao watoto wake 2 aliozaa na lola
Wamekaa miaka ming kwahyo Peter anamjua Lola vizur tu,na bado kaamua kumuoa that means anaweza kuish naye...
By the way mbona watu weng mnacheat tu?bas nany msiwe mnaoa wala kuolewa
 
nyumba kubwa

nyumba kubwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Messages
10,311
Likes
1,819
Points
280
nyumba kubwa

nyumba kubwa

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2010
10,311 1,819 280
Uwa nafatilia blog za wa 9ja sehemu anayotoka huyu binti inaongoza kwa Juju 9ja teh teh te...na wala haonekani mdogo hayo ni ma make up tu ambayo akilala anayatoa; umeona picha aliyokuwa anamvisha pete?...

Huyu Lola anatoka sehemu moja na Geneveive; na naona naye Gen alikuwa anataka kujiibulia kijana D Banj; lakini kwa ukabila na umri na uadui kati ya makabila hayo mawili; ndugu za D'Banj hawamtaki

Hapo ameingia kwenye stress tu unaolewaje na kijana anakuzidi miaka 10 tena super star...pressure za bure hizo...
 
Adharusi

Adharusi

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2012
Messages
12,608
Likes
4,204
Points
280
Adharusi

Adharusi

JF-Expert Member
Joined Jan 22, 2012
12,608 4,204 280
Mtoto mzuri
 
Chocs

Chocs

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Messages
8,214
Likes
214
Points
160
Chocs

Chocs

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2012
8,214 214 160
Wawaache tu,ndo washapendana na viapo tayari
 
kabanga

kabanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Messages
31,669
Likes
5,077
Points
280
kabanga

kabanga

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2011
31,669 5,077 280
Uwa nafatilia blog za wa 9ja sehemu anayotoka huyu binti inaongoza kwa Juju 9ja teh teh te...na wala haonekani mdogo hayo ni ma make up tu ambayo akilala anayatoa; umeona picha aliyokuwa anamvisha pete?...

Huyu Lola anatoka sehemu moja na Geneveive; na naona naye Gen alikuwa anataka kujiibulia kijana D Banj; lakini kwa ukabila na umri na uadui kati ya makabila hayo mawili; ndugu za D'Banj hawamtaki

Hapo ameingia kwenye stress tu unaolewaje na kijana anakuzidi miaka 10 tena super star...pressure za bure hizo...
sasa atakuwa ametumia juju....?
 
Vikao vya Harusi

Vikao vya Harusi

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2012
Messages
486
Likes
3
Points
35
Vikao vya Harusi

Vikao vya Harusi

JF-Expert Member
Joined Sep 19, 2012
486 3 35
Mtoto mbichi kabisa huyooo,hata angekuwa kaniacha miaka 20 nisingeacha utamu uende huo,
 
obsesd

obsesd

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2011
Messages
1,226
Likes
5
Points
0
obsesd

obsesd

JF-Expert Member
Joined Nov 23, 2011
1,226 5 0
katka uzii huu nimejifunza hii swaga "if you want to know me you have to find my number"

well well nitaitupia hii swaga kwa mkwaree atakayejitokeza kutupia swaga zake iv karibuni!
 
white girl

white girl

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2013
Messages
1,374
Likes
15
Points
0
Age
24
white girl

white girl

JF-Expert Member
Joined Dec 5, 2013
1,374 15 0
Mapenzi acha bwana,damu zikipatana hata angekuzidi miaka 69,mwenzio anaongea yupp uchi wewe umevaa,chezea utamu wa kikojoleoo weew
 
Crystal clear

Crystal clear

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Messages
806
Likes
67
Points
45
Crystal clear

Crystal clear

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2013
806 67 45
they make a nice couple, huwezi kuwazuia watu wasiongee cha msingi ni kufuata moyo wako when it comes to choices
 
Forum statistics

Threads 1,238,994
Members 476,289
Posts 29,339,247