Kuna tetesi Davido kutumbuiza Big brother party in Dar

mimihapauk

Member
Jun 5, 2013
86
95
Jamani watanzania huu ndo wakati wa kuonesha ushirikiano.Wamezoea kutuonea issue zinatokea zinaishia chini Kwa chini.
huyu ----- Davido Acha ababaikiwe na mafala na sio watu wanaojielewa..Tuanze na kugoma kuhudhuria then tum boycott huyu pimbi
wa kinigeria hsiyekuwa na Adabu
 
sister

JF-Expert Member
Nov 23, 2011
9,019
2,000
Hata akija na jeshi zima la USA ili wamlinde amini amini nawaambia ataoga chupa za mkojo stejini kama kichwani ana akili angalau za kuvukia barabara bora akatae.
aoge chupa za mikojo kisa hayo malumbano yao na dimond....? huu ugomvi wao bora ukachukue jembe ukalime.....mana wakipata wew chukua kapu ukavune.......
 
nkuwi

JF-Expert Member
Feb 11, 2013
3,958
2,000
Acheni Ujinga, davido atapafom na hamna cha kumfanya,,,,mtoa mada kama huna hela ya kiingilio useme usianze kujificha kwenye kichaka cha kijinga kama hicho!
 
Chinga One

JF-Expert Member
May 7, 2013
10,523
2,000
aoge chupa za mikojo kisa hayo malumbano yao na dimond....? huu ugomvi wao bora ukachukue jembe ukalime.....mana wakipata wew chukua kapu ukavune.......
nani kakuambia davido ana ugomvi na diamond? kama hujui bora ukae kimya tu.
 
kende

JF-Expert Member
Dec 2, 2013
3,533
1,250
aoge chupa za mikojo kisa hayo malumbano yao na dimond....? huu ugomvi wao bora ukachukue jembe ukalime.....mana wakipata wew chukua kapu ukavune.......
Ameidiss Tanzania, sio Diamond
 
kizaizai

JF-Expert Member
Mar 31, 2010
3,709
2,000
Wabongo mnahasira kutokana na umasikini na uwezo mdogo wa kufikiri. Davido ni zaidi ya Diamond na Diamond bila Wanaijeria asingejulikana.
 
McDonaldJr

JF-Expert Member
Sep 25, 2013
6,399
2,000
aoge chupa za mikojo kisa hayo malumbano yao na dimond....? huu ugomvi wao bora ukachukue jembe ukalime.....mana wakipata wew chukua kapu ukavune.......
Wewe ni m-Tz wa kuzaliwa au wa makaratasi ya uhamiaji?ngoja aguse Tz utanielewa maana nahisi ni mgeni na mbilinge za mashabiki wa Bongo wakiamua kukinukisha lazima kinuke kama unahitaji mifano hai nijuze nitakupa.
 
Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
10,005
2,000
Jamani watanzania tuache mambo ya kijinga. Diamond mwenyewe ili atoke alimtumia Davido, marehemu Kanumba pia aliwatumia sana wanigeria kutoka. Wao ni wengi sana na wametapakaa sehemu mbali mbali za dunia, kushindana nao kwa mambo ya kijinga kama haya tutakuwa tunadimiza wasanii wetu tu. In fact Diamond alipokataa kupanda jukwaani wakati wa zawadi za BET na alivyojibu ile twitt ilikuwa ni makosa ambayo hayakuwa ya lazima.

Acheni shetani huyu apite ili wasanii wetu waendelee kujichanganya na wenzao. Zawadi za Channel O tumeshawahu kuzipata huko nyuma kabla ya hizi za Diamond lakini hakukuwa na hii sarakasi;
mwaka 2007 tulikuwa na hii

Halafu mwaka 2008 tukawa na hii

Kama miaka hiyo hatukupiga kelele hatutapoteza kitu kwa kutokupiga kelele leo.
 
Last edited by a moderator:

sister

JF-Expert Member
Nov 23, 2011
9,019
2,000
Wewe ni m-Tz wa kuzaliwa au wa makaratasi ya uhamiaji?ngoja aguse Tz utanielewa maana nahisi ni mgeni na mbilinge za mashabiki wa Bongo wakiamua kukinukisha lazima kinuke kama unahitaji mifano hai nijuze nitakupa.
ubaya sijazaliwa dar es salaam.....ndiyo tatizo dar nimekuja kwa mbio za mwenge.......
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom